Harakaharaka nikushauri faida za mwanamke msomi,1. Ni msafi2. Ni mshauri mzuri kwenye maswala ya maendeleo, mjinga atanishauri nini?3. Ana wivu wa maendeleo na mapenzi pia, mjinga yupo tu tayari kwa lolote,4. Anakubaliana na mabadiliko. Mfano kama umeishiwa kwa bahati mbaya uwezekano wa kukuvumilia ni mkubwa kuliko kuwa na mjinga ambae ikitokea umefilisika anarubuniwa na wenye nazo kiulaiíííni.5. Ana mchango mkubwa kwa mumewe, hasa ktk maswala ya kifedha.6. Huwaza maendeleo zaidi kuliko ngono, mjinga anajua kaolewa kwa ajili ya kuzaa tu.7. Anajiamini(confidence), so huwezi kumpeleka peleka.8. Anajua umuhimu wa kuwasomesha watoto. Mjinga atapendelea wanawe wawe na hata kaelimu ya kuwapatia kakipato ka kula. Hana ndoto za mbali.9. Ana uelewa kuhusu uzazi wa mpango.10. Ana uwezo wa kutetea jamii na kutoa michango mbalimbali ya mawazo. Mfano waliopo JF, Kama Ashadii, afrodenzi, lizzy, FF, Preta, nk.