Ukweli: CCM haina hata Viongozi!

Ndege wanaofanana huruka pamoja .
Wewe na Nicholas ni watu wa kiwango kile kile, mkuu usijipe umaarufu usiostahili, stahili yako waijua mwenyewe.

You are not a Thinker, has never been one, will never be one.
Lala salama.

kwani nani kati yetu katuambia kuwa tumejitangaza kuwa great thinker.Au ni wewe ndio umeona hilo ,ndio unakusanya nguvu za kuikubali hiyo hali.people are here to descuss issue zilizopo katik jamii in a very honest way.
 
Endelea na utafiti wako lakini I am sure we ni mtu wa kutumwa and not otherwise.

walewale wasiogopa utumwa ila nani kawatawala.NI walewale binti yao akipata mimba shule kwao tatizo ni kama hatoolewa na mahari kulipwa.

Ni wale wale wasioamini kuwa fikra za mtu zinaweza mtuma.Kwa vile hwawezi ishi bila Master.Si mara ya kwanza kuishi na watu kama hawa shida zikitokea hakuna wa ku figureout kma kuna solution around.Wao ni kuinua simu na kupiga.
 

sawa mangi, moshi si ndio imestaarabika?acheni basi kutambika huko makaburini?hamuwezi kuomba makanisani mkapata mnachotaka mkatosheka?
 
umesjili id ngapi kwa ajili ya kazi hii mkuu,naona unapambana kweli kweli

kwani wewe umeona ngapi?Soma my footer halafu tafuta kama hii.Acha side discussions,kama wale akina mama wa uswahilini wapatao tatzio na kuanza jiliza badal aya kuzuia lisiendelee.Wakikumbushwa wanaplay victims kuwa wana huzuni .

Kama umetokea hizi familia sioni ajabu hata mkuu wa kaya kupoteza muda kuwa anafanyiwa hila huku taifa likizama.
 
sawa mangi, moshi si ndio imestaarabika?acheni basi kutambika huko makaburini?hamuwezi kuomba makanisani mkapata mnachotaka mkatosheka?

Hilo linawahusu wao,kwani kupunga mapepo pwani kumeanza leo?kwanini imani isifanya kazi.Sijui kwanini vitu muhimu kifikra vinakuponyoka kirahisi hivyo?nadhani panahitajika additiona test ktk public offices.Wakipima vichaa kwa criteria za milembe,basi waangalia na reasoning patterns za watu.
 
ccm inaangalia maadili ya viongozi wake kulingana na imani zao pia.kama kiongozi anaasi na kusaliti imani yake hafai tena kuongoza jamii pana ya watanzania,kwani ile dhambi ya usaliti itaendelea kumtafuna maisha yake yote

Sasa kama karibu kila mtanzania atakuambia kuwa ni mfuasi wa dini ya karibu hata kama hajui wala kushiriki ibada zake,ina maana CCM itakuwa chama cha kidini ...sasa machepele ya nini kuwa wengine ni wadini?Pengine slaa alikimbia huo udini unaouleza.Hembu tushawishi vinginevyo.
 
NOTICE:
Nawashauri wenye michango tofauti iliyo nje ya mada hapo juu ni vyema wakaanzisha uzi wao au wakatafuta uzi unaoendana na wanachotaka kuandika hapa.
1. Atapata majibu mafupi sana yasiyomtosheza na kudhani kuwa nimemdharau.
2. Ataonekana mvurugaji asiyejua kujenga hoja
3. Ataonekana ni mtu asiyefikiri vyema kabla ya kutumia vidole vyake kuandika

Ili udhihirike kuwa wewe ni mtu mzima ni lazima uuonyeshe umma kuwa wewe ni mtu mzima.. Utu uzima si kutukana majiradi wala kuwakoromea watoto nyumbani.. CCM jifunzeni kujibu hoja acheni kashfa zisizokuwa na maana wala faida kwa chama chenu.
 

..na peresi!
 

Kaka jina lako linafanana na yule aliyetumwa kumuua Chacha Wangwe, naskia ulisomea ujasusi. Leo tupe ukweli ulitumwa na CDM au CCM. Tusije tukakuamini kumbe nyoka. Samahani lakini!!
 
CCM kama CCM kwa maana tuliyokua tunaijua sisi tangia enzi za Mwalimu, is no longer in existence. Kilichobaki ni genge la wapigaji tu. Wengi ya waliojaa mule ni watu wanaotafuta michongo ya wapi pa kupiga na 'nitoke vipi'. Kutwa ni kutengeneza makundi na kujitafutia control. Na katika kipindi ambacho hili genge la wapigaji wa CCM liko madarakani, watanzania tumuombe Mwenyezi Mungu atunusuru na majanga yaletwayo na CCM na washirika wao katika upigaji!
 

Ukianza kuleta hoja hizi jiulize tena, je hizo barabara unazozipigia kelele tumepata value for money? Na je, kwa kipindi choote hicho CCM imekaa madarakani ndo tunastahili. Jibu unalijua, tulihitaji kikubwa zaidi ya hiki, so usilete sifa as if ndo CCM imefanya kitu kikuuuubwa. We deserved much more than this!
 

Kama genge la uporaji la CDM lilivyo, ivi huko CDM kwa mfumo wao wa utawala wa kulimbikiza vyeo vyenye ulaji kwa watu wa Karibu na ndugu wa Mbowe na Slaa unataraji kutakuwa na mabadiliko yeyote. Kama tuna uchungu na ufisadi tudai mfumo bora wa kugawana keki ya Taifa ndani ya CDM kabla hatujawapa ridhaa ya kututawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…