Mkuu somo dogo la insha ya darasa la saba inakushinda?
Na huko Somalia unakozungumzia ni Arumeru au Somalia tunayoifahmu?
Ukiona fikra za uchambuzi zinakushinda ni vema ukatafuta pale panapo kutosha.
Hii ipo ukurasa gani wa ilani ya chama chako?
Na ndio tatizo kubwa la kukopi na kupesti-hata wale wa darasa la saba wanajua hilo.wanasahau kuwa maji moto hayaunguzi nyumba!
Kwa bahati mbaya sana unakariri comment! Comment uliyomjibu Mr.Nicholas na mimi wala hazina tofauti.. Yote 9 ila kumi mwisho wa ccm umewadia.
Mkuu Deus,
Mara chache sana ambapo ccm huwa wanakubali ukweli unaosemwa. Ccm wameshindwa kujirekebisha hasa kwa maandalizi ya huku uzeeni. Tayari kimepoteza na kinaendelea kupoteza wanachama makini ambao leo wangekuwa viongozi wazuri sana. Kwa mfano Mwaka 1995 waliondolewa wengi kwa hila za kifisadi akiwemo Mhe.Dr.Willibroad Slaa. Hebu jiulize leo Dr.Slaa angekuwa Rais wa nchi hii ingekuwa mbali kiasi gani? Watu wengine wengi ambao waliamua tu kukaa pembeni na kuiangalia ccm baada ya kuenguliwa kwa hila nao walishaonyesha juhudi zao kubwa kwa nafasi zao.
Kweli ccm Haina Viongozi.
Ni wazi kuwa CCM ni chama kikongwe kulinganisha na Vyama vyote vya siasa hapa Nchini; Ukongwe huu wa CCM umedhihirika hasa miaka takriban saba iliyopita kwa baada ya wengi maelfu kukihama chama hicho.
Waliobaki ndani ya CCM kwa sasa hawana tena Credibillity ya kuitwa viongozi kwa sababu hawaaminiki,Hawajui miiko ya Taifa wala Mila na Desturi za Chama cha Mapinduzi. Tumeshuhudia Baraza la Mawaziri likivunjwa kama mara nne hivi kwa kipindi cha miaka Saba, Tumeshuhudia hata wale ambao ni wateule wa Chama cha Mapinduzi wakiwatusi wananchi kwenye majukwaa ya Kisiasa, Wengine walidiriki kuwachapa viboko waalimu, Wengine wakapigana ngumi kule Arusha (Muulize Ole Sendeka), Wengine wanadiriki kuwatukana waajiriwa (Proffesionals) Matusi ya nguoni hadharani kuwa usomi wake ni wa Degree ya Chupi, Wengine sasa wananyukana kwa kutoleana Bastola kugombea nafasi za 'Uongozi' na wengine kuamua kuwahonga wananchi vitumbua kwa ajili ya kuomba wachaguliwe!..Wengine wanalalamika kupewa nafasi wakiwa wadogo, Wengine kuua kwao si ajabu!.
Kwenye ulingo wa Siasa; Kiongozi yeyote makini akiona haya na mengineyo lukuki yasiyoandikika pengine kuukifu ukurasa huu yanatokea na kuendelea kuzidi angetafakari upya nafasi yake na uwezo wake wa kuongoza na kufanya maamuzi: Maamuzi hayo pekee ndiyo yangeweza kumtofautisha na hao wengine. Lakini ukimya huo wa kiongozi wake mkuu naye unampotezea Credibillity ya kuitwa kiongozi.
Kwa bahati mbaya sana unakariri comment! Comment uliyomjibu Mr.Nicholas na mimi wala hazina tofauti.. Yote 9 ila kumi mwisho wa ccm umewadia.
mheshmiwa,nakujulisha kuwa slaa aliachwa ccm kwa sababu ya mapungufu yake hasa ya kutelekeza familia na kuisaliti imani ya kanisa
Kwa bahati mbaya sana unakariri comment! Comment uliyomjibu Mr.Nicholas na mimi wala hazina tofauti.. Yote 9 ila kumi mwisho wa ccm umewadia.
mheshmiwa,nakujulisha kuwa slaa aliachwa ccm kwa sababu ya mapungufu yake hasa ya kutelekeza familia na kuisaliti imani ya kanisa
Kama unajua una tatizo kama la mateja,la kurudiarudia na kuchelewa sikia wengine waongeapo nawe,kwanini usingerudi ktk threads za nyuma na kujisomea walichojibiwa wengine ili kuepusha jaza uchafu humu ndani.tuambie ulimfanyaje chacha wangwe?ulitumwa,au alikukosea nini?
Kwani ccm ilikuwa ni ya Kanisa Katoliki?.
Ndege wanaofanana huruka pamoja .Kwa bahati mbaya sana unakariri comment! Comment uliyomjibu Mr.Nicholas na mimi wala hazina tofauti.. Yote 9 ila kumi mwisho wa ccm umewadia.
Kama unajua unatatizo kama la mateja,la kurudiarudia na kuchelewa sikia wengine waongeapo na wewe,kwanini usingerudi ktk thrad na kujisomea walichojibiwa wengine ili kuepusha jaza uchafu humu ndani.
where is our beloved chacha wangwe?deus what exactly happened,did you planned the acident?
Ndege wanaofanana huruka pamoja .
Wewe na Nicholas ni watu wa kiwango kile kile, mkuu usijipe umaarufu usiostahili, stahili yako waijua mwenyewe.
You are not a Thinker, has never been one, will never be one.
Lala salama.
How can he be your beloved one,while you still know nothing about him?where is our beloved chacha wangwe?deus what exactly happened,did you planned the acident?
ccm inaangalia maadili ya viongozi wake kulingana na imani zao pia.kama kiongozi anaasi na kusaliti imani yake hafai tena kuongoza jamii pana ya watanzania,kwani ile dhambi ya usaliti itaendelea kumtafuna maisha yake yote
Endelea na utafiti wako lakini I am sure we ni mtu wa kutumwa and not otherwise.Nilikuwa najaribu kutofautisha account yako hii na ile nyingine... Kama unafikiri am nt a thinker hukuwa na sababu ya kunijibu.
acha jazba,sijakuuliza wewe unarukia mambo yasiyokuhusu.au unawashwa mahali
Na kuamua mfanya speaker wa bunge kuwa kibaraka wa CDM,kwa kuitakasa Office ya speaker na kuwa kijiwe cha CDM kuwatakasa kondoo wa CCM 55,huku wengine wakiunga mstari.Hembu kamuulize mkuu wa kaya kama hii habari ni nzuri kwa genge ya majambazi wanamagamba.