popoo kuranyi
Member
- Nov 30, 2017
- 10
- 4
Ur dammm brightWe na huyo mpenzi wako wote ni watoto hamjakua bado yaani kwa raha kabisa unakuja kuanzisha uzi kama huu as if alichokifanya kimekusuiza moyo wako.
Fanya kile ambacho moyo wako unataka.
Asa si amekuwa mkweli tuWe na huyo mpenzi wako wote ni watoto hamjakua bado yaani kwa raha kabisa unakuja kuanzisha uzi kama huu as if alichokifanya kimekusuiza moyo wako.
Fanya kile ambacho moyo wako unataka.
Sasa ukweli wake una faida gani mkuu.Asa si amekuwa mkweli tu
Goodmorning MkuuUr dammm bright
G'morning Msichana Mrembo
Hahahah hapo ukute demu alimpata kwa zali lazma awe mdogo tu.Sasa ukweli wake una faida gani mkuu.
Angalau angekuja na suluhu kwamba mpenzi wangu kaniambia hivi nimechukua maamuzi haya nadhani tungeona ametuandikia kitu chenye faida kidogo.
Noted with thanks ladyGoodmorning Mkuu
Uwe na asubuhi njema.
Hahahaaa. Ila wanaume mna kazi sana aisee.Hahahah hapo ukute demu alimpata kwa zali lazma awe mdogo tu.
Pole kwanza mkuu, pili naungana na mmoja ya mchangiaji aliesema fuata moyo wako sababu kwenye mapenz tunaweza kukushaur hivi ww ukaamua vile, so sikiliza moyo wako...Jamaaaan mm nna mpenz wangu nampendaa sanaa na yeye naona ananipendaa lakini juzi nmeonana nae kanambiaa kitu kimeniuma sana kasema mpenzi kiukwel ulivokuwa mbali nlitembea na mwanaume alinilaghai nkampa penzi lakini nmejua udhaifu wangu na nakupendaa ww hata nlivofanya nae nlikuwaa nakuwaza ww naomba unisamehe sirudii tena na tulipangaa mangi kuhusu ananiomba msamaha kila siku et jamaaan nfanyaje nmsamehe au niende mbele????
We na huyo mpenzi wako wote ni watoto hamjakua bado yaani kwa raha kabisa unakuja kuanzisha uzi kama huu as if alichokifanya kimekusuuza moyo wako.
Fanya kile ambacho moyo wako unataka.
We muuache tu na bora amekwambia mapema kabla hujamweka ndani.daaa ila ukweli haujawahi muacha mtu salama ,nadhani jibu unalo ila unataka uongezewe majibu zaidi.Pole kwa kuambiwa ukweliJamaaaan mm nna mpenz wangu nampendaa sanaa na yeye naona ananipendaa lakini juzi nmeonana nae kanambiaa kitu kimeniuma sana kasema mpenzi kiukwel ulivokuwa mbali nlitembea na mwanaume alinilaghai nkampa penzi lakini nmejua udhaifu wangu na nakupendaa ww hata nlivofanya nae nlikuwaa nakuwaza ww naomba unisamehe sirudii tena na tulipangaa mangi kuhusu ananiomba msamaha kila siku et jamaaan nfanyaje nmsamehe au niende mbele????