'Ukware' huu wa Arusha kiboko, khaaaaa!


Siyo "mdomo-gundi". Wengi wao wanapenda "bwerere". Bia na gharama atoe mwingine, kuchukua achukue yeye.
Mmoja wao hukohuko Arusha, alijaribu kumshawishi waifu achukue pesa ya gesti kutoka kwangu..!!! Hakujua kwamba tulikuwa tunamchezea gemu mimi na waifu.
 
aisee wanadhani ni watalii wanaokuja kufanya utalii wa mapenzie, eeeeeeh, wajinga kweli wanaume wa arusha!
 
sasa tuchangie nn hapo? .....siku nyingine uwe unakaa kimya

Sio lazima, kuchangia mkuu. Si unaona wenzo walivyotoa maoni yao hapo mkuu. usiniambie kuwa we unadhani kila kinachobandikwa humu basi lazima uchangie, mbona kazi unayo ndugu!
 
Ukiona watu wanaona fahari kuchomana chomana visu na kupigana na chupa za bia ujue huo ni mji wa mafulumbu, sijawahi kuuona ujanja wa watu wa Arusha
 
Yaani usiniambie kwamba hujui hata huyo mwanaume aliyekaa naye yukoje naye, we unapeleka namba yako tu! Vipi kama ni mumewe au sio malaya? Si utaishia kupata aibu kama alivyoipata pale?

Rafiki yangu Ndyoko ukiogopa aibu hutapata demu maana kutongoza ni kutake risk eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…