Anaachwa mtu sahihi anachukuliwa mtu anayedhaniwa kuwa atakuwa sahihi
Ulitaka yupi aachwe?Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
Moja ya haki za msingi za raisi ni kufanya maamuzi hata kama anakosea. "Chaguo" lako si lazima liwe lake. Usijali, siku utakapopata fursa aliyo nayo JPJM na wewe utakuwa na haki aliyo nayo na utateua watu huku ukiwaacha nje "wapendwa" wa watu!Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
Anawafahamu mkuu, mfano Makala, Zambi, Mwanri, Kilango, Makonda n.k anawafahamu vizuri sana.Msifikiri hao anaowateua anakuwa anawafahamu kiundani wengine hata CV zao hana Bali uambiwa hivi tafadhali Fulani na Fulani usimwache kwenye ngazi Fulani ya uteuzi ukikosa hapa MPE pale ana hali mbaya Mpaka sasa hana kazi yoyote, tafadhari usimwache.
MAKONDAktaUlitaka yupi aachwe?
JE? KWENYE UCHAGUZI MKUU ALIISAIDIA CCM KUSINDA??? KAWAKAMATA UKAWA MARA NGAPI??? KAMA SIVYO HAFAI KUWA MKUU WA MKOAKila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
Walio sahihi katika watu milioni 40 ni wengi walioachwa.Anaachwa mtu sahihi anachukuliwa mtu anayedhaniwa kuwa atakuwa sahihi
ahahaha,eti ana hali mbaya sana!kiuchumi au kihali?Msifikiri hao anaowateua anakuwa anawafahamu kiundani wengine hata CV zao hana Bali uambiwa hivi tafadhali Fulani na Fulani usimwache kwenye ngazi Fulani ya uteuzi ukikosa hapa MPE pale ana hali mbaya Mpaka sasa hana kazi yoyote, tafadhari usimwache.
Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
Acha kulia lia! Wakati yeye alipoteuliwa kuna watu wengi tu sahihi walioachwa! Sasa ni zamu yake kuachwa! Watu sahihi ni wengi! Hata hivyo, ameshazeeka Huyo! Unataka afie ofisini?Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
Kama alisahau kucheza na media kama kina Mulongo asahau....Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
Msifikiri hao anaowateua anakuwa anawafahamu kiundani wengine hata CV zao hana Bali uambiwa hivi tafadhali Fulani na Fulani usimwache kwenye ngazi Fulani ya uteuzi ukikosa hapa MPE pale ana hali mbaya Mpaka sasa hana kazi yoyote, tafadhari usimwache.