Huu ni wakati wa kufocus na shida moja kuu kwa sasa nayo ni usalama wa nchi na raia! What is the use of having democracy katika nchi ambayo usalama unatetereka!
Katika hali kama hii ya sasa lazima taifa tuungane dhidi ya common enemy ambaye nadhani level yao ya uharifu inavuka ujambazi na kwa maana yeyote hawa wanaelekea kuwa magaidi zaidi ya majambazi!
Kwa akili ya kawaida polisi wamezidiwa kwa sasa, tukizidi kuwa exhaust na shida za maandamano tunawaweka ktk hali ngumu zaidi!
Lakini hatari kwa waandamanaji na wananchi inakuwa kubwa zaidi, maana askari aliyekuwa exhausted anakuwa liable kwa mistake na hata kwa just trivial panic anaweza kufyatua risasi, anaweza kuua hata bila ya kutarajiwa!
Taifa likiwa na shida, watu uungana kujenga na sio kubomoana!
CHADEMA wekeni uzalendo mbele, tangazeni kusitisha maandamano at least kwa sasa ili polisi wa focus!
Sote hata Mbowe, Lowasa, Lissu, Mimi na wewe tunahitaji ulinzi kuwa salama! Tunahitaji polisi kama vile wanavyotuhitaji, hata Hawa majambazi (magaidi in my opinion) wakipata chance watatutandika sote! Tuchukue mifano ya alshabaab na tuhesabu idadi ya raia na askari wanaouliwa na hao maharamia!
Au tazama Nigeria Boko Haramu wale mateka wao vibinti wanatoka jeshi gani?
Sote tutakuwa vulnerable kama polisi wakizidiwa!
Please chadema, UKUTA usimame angalau kwa muda!
Tupate kuwa wamoja wakati huu!