Ukumbi au sehemu ya sherehe

Alure

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2014
Posts
1,100
Reaction score
1,055
mwenye kufahamu sehemu nzuri ya kufanyia sherehe kama harusi au send off isiyopungua watu 200 iwe outdoor au indoor, ikiwa outdoor iwe sehemu yenye at least garden
msaada wenu tafadhali!!
 
Andika tangazo lako lieleweke vizuri , unataka mkoa gani au popote , kumbi hzo marekani hasa katika lile jiji la las Vegas zipo za kumwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…