Ukraine's Himars rockets can now target Crimea

Hii Vita ndo imethibisha tena bila ubishi kwamba kwenye convectional war Urusi hana ubavu wa kupigana wa NATO maana atachakazwa Asubuhi na mapema.

NB:
Sijataja nyuklia sababu Vita vya nyuklia havina mshindi
Ni matusi kuipambanisha NATO na Russia. Ukraine akiwezeshwa zaidi anaweza akamchakaza saaana mrusi.
 
cc Bukyanagandi Bwana Utam kimsboy EINSTEIN112
 
Wapige Sasa waone siku hizi sisikii Ukraine akiipiga Crimea au sehemu yoyote Russia Kwa sababu wanajua kitakachotokea.
 
Kwa hiyo Kherson ndio imerejea hivyo mikononi mwa Ukraine?
Kuna vitu vya kipumbavu Putin huwa anafanya, hili la kuupoteza mji wa Kherson ni mojawapo.
 
Kwa hiyo Kherson ndio imerejea hivyo mikononi mwa Ukraine?
Kuna vitu vya kipumbavu Putin huwa anafanya, hili la kuupoteza mji wa Kherson ni mojawapo.
Sasa wewe unajua kuliko Putin bado asilimia 70% ya Kherson IPO mikononi mwa urusi waliondoka upande mwingine wa MTO Tu.
 
Hii Vita ndo imethibisha tena bila ubishi kwamba kwenye convectional war Urusi hana ubavu wa kupigana wa NATO maana atachakazwa Asubuhi na mapema.

NB:
Sijataja nyuklia sababu Vita vya nyuklia havina mshindi
Vita imeisha ?

mshindi nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…