Ukraine itaikimbia Crimea

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
Hawana silaha za kisasa kupambambana. wanategemea silaha zilizo pitwa na wakati za soviet union

lakini mbona Ukraine anasaidiwa silaha?
ni kweli anasaidiwa lakini
Tofautisha kati ya kupewa silaha nyingi na kupewa Silaha nzito.

Unaweza Kupewa javellina milion tatu. bunduki miLion hamsini.
guruneti bilion moja.
RPG Laki saba
na risasi tilion nne. huo ndio mfano wa silaha wanavyo pewa ukraine. silaha nyingi lakini sio nzito.
na kwa silaha hio hio wanagomboa kila mji unaotekwa na russia.
leo russia inateka mji kesho ukraine wanaurudisha.
SIKU wakipewa yale madude ya NATO. kwa utoshelevu wake. ndani ya miezi miwili Ukraine itakomboa CRIMEA.
Save my Words.

DAAH
RUSSIA KANIVUNJA MOYO WANGU
 
Wamarekani wa Tandahimba sijui mnakuaga na shida gani. Kichwa cha habari na cotent, ni makande na mlenda!

Wakija hapa Warusi wa Makambako wakaanza kupanga hoja zao, lazima utafute pa kutokea. Majamaa yako very smart, yanapanga hoja kwa takwimu na reference za kutosha. Nyie endeleeni kujaza nyuzi za hisia!
 
Nonsense
 
Waambie NATO wawape hizo silaha, hivi unafikiri NATO anaogopa nini? kijana Urusi sio Rwanda, ana silaha nzito za kuangamiza dunia hii lazima uwe na adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…