Ukona Picha Hii Wajulishe na Wengine

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Kuanzia sasa Makamanda wote wa Polisi watakua "wanatembela Pikipiki na sio Mashangingi tena...hii inathibitishwa na picha hiii
Swali

  1. Ni kweli?...........................Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Said Mwema akimkabidhi pikipiki Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi Suleiman Kova kama ishara ya kukabidhiwa Makamanda wote Tanzania bara na Visiwani ambapo jumla ya Pikipiki 564 zimekabidhiwa kwa ajili ya kuzuia uhalifu kwa lengo la matumizi ya Wakaguzi Tarafa wa Polisi Tanzania bara na Majimbo yote ya Zanzibar, program za Safiri Salama na Usalama wetu kwanza.Makabidhiano hayo yamefanyika katika makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Makamanda na maafisa mbalimbali wa jeshi hilo.
 
Tufanye kavukavu? oh NO!!!!!!!!!!
nAWAZA TU Gharama ambazo aimetumika kwa shughuli hii...............usisahau posho za kujikimu za waliotoka mikoani na madereva wao, mafuta ya magari etc............
swali
  1. Kwa gharama za sherehe hii tusingepata piki[iki nyingine kama chache hivi>???????????????
 
Tanzania bana, full sanaa.. as if kila wakati tunafanya majaribio
 
Kuna jamaa aliniambia "ukiona Traffic mwembamba ujue ndio kaanza kazi karibuni"..sijui kama kuna ukweli..........hapa sherehe zinaendelea
 
Huoni hata wasanii wanaenziwa sana na "Wasanii"?????

Hak'yanani hii INJI hii!? siku mchawi wetu akifa naamini vibaraka wake wengi watakimbia kazi maana itakuwa ni kinyume na walivyozoezwa
 
Duuh time ya kuwalipizia kisasi nikiwakuta njiani......mwagia maji ya mvua 🙂
 
Jeshi ni moja.pikipiki mpya huku askari anakagua maiti na glovu moja. mungu amuepushe na maradhi ambukizi.
 

Attachments

  • ajali_pikipiki_8.jpg
    45.8 KB · Views: 89
  • ajali_pikipiki_9.jpg
    37.1 KB · Views: 79
Madamez hapa ni changa la macho tu........thubutu eti umkute Kova kwenye bodaboda?
Duuh time ya kuwalipizia kisasi nikiwakuta njiani......mwagia maji ya mvua 🙂
 
tanzania ajabu kubwa kuliko yote la dunia lisilopewa kipaumbele na guiness
 
watu8 na member wengine mnaitwa na amavubi huku muone picha za wahalifu waliopewa jukumu la kuzuia uhalifu.
 
Last edited by a moderator:

sasa ulichokiandika na melezo kwenye ya picha mbona yanatofautiana? Kifupi ni kuwa, Mwema alianzisha mpango wa kushusha huduma za kipolisi hadi ngazi ya tarafa, lengo ni askari wenye cheo cha mkaguzi (inspectors) wakae katani washirikiane na viongozi wenzao kutatua kero mbalimbali za kijamii hususani UHALIFU. Sasa kwa mawazo yako wewe unadhani KOVA atatembelea pikipiki?

zinasambazwa vijijini wewe kwa hao wakaguzi
 
kuna jamaa aliniambia "ukiona traffic mwembamba ujue ndio kaanza kazi karibuni"..sijui kama kuna ukweli..........hapa sherehe zinaendeleaView attachment 79087



kweli kwa namna hii wataachia madaraka yaende upinzani kirahisi? Mh iko kazi maana wameapa kummaliza yeyote anayewakatia mrija wa maziwa, toba
 

Usiwaze gharama za sherehe ndugu yangu bali waza ongezeko la kero ya hawa jamaa kukumata na kuchukua pesa kwako wakijifanya wanakagua reseni yako, insurance au uendeshaji wako n.k.. Hawa polisi wa pikipiki maarufu kama TIGO kero kweli mitaaani kama hujakutana nao waulize wanaendesha magari hasa wale ambao wamesimamishwa na kulazimishwa kutoa pesa.... Hii huwa ni biashara ya wakubwa na si ya kuzuia uharifu....
 
Zimemenunuliwa na serikali au ni hisani ya jambazi mmoja anayeplan kufanya big time deal.

Lengo na kazi ya hizo pikipiki ni nini? Je, kazi zake ni zaidi ya pikipiki za Tigo, ambao zamani walianza kwa mkwara kweli siku hizi wanashika malori ya mkaa, au kuwasaidia hao wa Tigo ambao kiukweli wamechoka.

Watakaokabidhiwa watakuwa weledi na waaminifu au kama wale jamaa wa kariakoo waliolamba millioni 150 kweupe kabisa?
 

Kwa wengine weshapata nyenzo ya kufuatia mirungura vichochoroni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…