dedam JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 845 Reaction score 166 Mar 14, 2011 #1 wadau wa jf naamini kuna wasomi wazuri humu please naomba mnidadavulie maana ya ukomunisti 2.Nchi zinazoongozwa kikomunisti ni zipi. 3.faida na hasara za ukomunisti Nawasilisha
wadau wa jf naamini kuna wasomi wazuri humu please naomba mnidadavulie maana ya ukomunisti 2.Nchi zinazoongozwa kikomunisti ni zipi. 3.faida na hasara za ukomunisti Nawasilisha