kailakarama
Member
- Aug 30, 2014
- 73
- 30
Wanachama wa Cuf,Cdm,NCCR na NLD wasema na wao karibuni watalipua makao makuu ya vyama vyao.
Kama wananchi wa Burkina Faso walivyolipua bunge kwa sababu ya kupitisha kifungu cha kumruhusu rais wao agombee kwa kipindi cha tano baada ya kuwa madarakani kwa miaka 27.
Na wanachama wa Cdm,Cuf,NCCR na NLD wanasema nao wamewachoka wafalme Mbowe,Lipumba,Mbatia na makaidi.
Nawashauri wasilipue ofisi zao bora waondoke huko na kujiunga na wazalendo wa ACT-Tanzania kwani katiba yetu Sura ya Sita Ibara ya 22 namba 2 vifungu vidogo vya (a),(b) na (c) vinasema ukomo wa uongozi ndani ya chama ni vipindi visivyozidi viwili vya miaka mitano.
Karibuni ACT-Tanzania
Taifa Kwanza leo na kesho.