nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,281
- 3,243
Watu waliopoenda kupiga kura mwaka jana walifikiria wanaenda kumkomoa nani au kuchagua nini?
Watu waliopoenda kupiga kura mwaka jana walifikiria wanaenda kumkomoa nani au kuchagua nini?
Itamlazimu achukue maamuzi magumu sana kama alivyofanya Sata kule Zambia. Mali za Kikwete, Ridhiwani, Lowassa, Rostum, zikamatwe na wote wafilisiwe. Itabidi tuanzishe mahakama maalumu ya wahujumu uchumi na kusimamisha uchimbaji wa madini mpaka tutakapokamilisha mikataba mipya itakayokidhi maslahi ya Watanzania.rais ajaye Baada ya jk atapata shida
Back in July niliwahi kuuliza swali kama huu mwaka wa fedha utaisha salama. There are too many promises and "too few" funds sources, ni upuuzi wa serikali ya huyu KAKA mkubwa. In attempting to please everybody, there are losing everything.