Pamoja wanasema upo kwa macho ya mtazamaji ila kuna wale ambao ni wazuri tu hata mnyama wa aina gani akiona anaukubali uzuri wake.
Na pia uzuri wa mwanamke unatokana na balance ya kila kitu kiwe optimal. Uzuri wa sura, kuumbika kwa mwili, unadhifu wa mavazi na hata jinsi unavyoongea.