Uko wapi udhibiti unaonadiwa na Chadema?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,951
29,532
Uko wapi udhibiti unaonadiwa na Chadema???

Eti tupeni halmashauri tukadhibiti ubadhirifu!!

Haya sasa halmashauri iliyopo chini ya KUB ndio hiyooo inatajwa kama kinara wa hati chafu.....

Nikiweka ushabiki pembeni nitahoji ...je Mbowe aliwahi kusemea nini kuhusu ubadhirifu ndani ya Halmashauri yake ????

jibu ni HAKUNA ....halafu mzee mzima na cheo kikuubwa cha KUB anaita waandishi kuongelea LUGUMI NA BUNGE LIVE!!...GODDAMN!!

Hebu jifunzeni kudhibiti halmashauri zenu kwanza ndio mje kuongelea ya kitaifa....

CCM Kama ilivyomchinjia baharini mhusika mkuu wa Richmond ndivyo itakavyowachinjia baharini wote wanaohusika na ubadhirifu...

Poleni kwa kiwewe cha kasi ya #HapaKazi tu

Dedication to P didy
 
Bila shaka maamuzi yote yanatoka Mikocheni kwa mzee wa richmond badala ya ufipa maana CHADEMA ndio walalamikaji wakubwa wanapoona majipu yanatumbuliwa
 
Halmashauri nyingi za bongo zmejaa rushwa kw kwl, haijalish ziko chini ya nan, apo ndo uwa nabak kushangaa tuu
 
Sasa Chadema walijinadi wanaenda kuzisimamia na kuondoa Rushwa...Cheki karatu na hapo Hai
 
Alipoishia Hayati Baba wa Taifa na Hayati Waziri Mkuu Moringe Sokoine Mh.Raisi JPM Anayaendeleza .Na Umma wa WATANZANIA tunakupa Sapoti wala Usirudi Nyuma Wanyonge walikuwa wakijilialia wenyewe bila vilio vyao kusikika
 
Upinzani umegeuzwa kuwa chombo cha kupigia dili...wanapiga mikwara ili wapate chochote kitu cha kuwanyamazisha...
 
Uko wapi udhibiti unaonadiwa na Chadema???

Eti tupeni halmashauri tukadhibiti ubadhirifu!!

Haya sasa halmashauri iliyopo chini ya KUB ndio hiyooo inatajwa kama kinara wa hati chafu.....

Nikiweka ushabiki pembeni nitahoji ...je Mbowe aliwahi kusemea nini kuhusu ubadhirifu ndani ya Halmashauri yake ????

jibu ni HAKUNA ....halafu mzee mzima na cheo kikuubwa cha KUB anaita waandishi kuongelea LUGUMI NA BUNGE LIVE!!...GODDAMN!!

Hebu jifunzeni kudhibiti halmashauri zenu kwanza ndio mje kuongelea ya kitaifa....

CCM Kama ilivyomchinjia baharini mhusika mkuu wa Richmond ndivyo itakavyowachinjia baharini wote wanaohusika na ubadhirifu...

Poleni kwa kiwewe cha kasi ya #HapaKazi tu

Dedication to P didy
Aione Mmawia
 
Yaani hawa jamaa......vigeu geu balaaa.
Mara lowassa fisadi....Mara sio fisadi

Mara Magufuli anatekeleza sera zetu Mara Magufuli dikteta...

Miaka hii watanena kwa lugha zote kwa kuwa wasiyempenda kaja!
 
Sitakaa tena nitafute stress eti kwa kuwaamini wapinzani, ni nyoka tusiowajua, wanajifanya wema kumbe ni kikulacho. Ilimradi mkono uende kinywani na hiyo ndo lengo lao nyuma ya pazia
 
Uko wapi udhibiti unaonadiwaswa na Chadema???

Eti tupeni halmashauri tukadhibiti ubadhirifu!!

Haya sasa halmashauri iliyopo chini ya KUB ndio hiyooo inatajwa kama kinara wa hati chafu.....

Nikiweka ushabiki pembeni nitahoji ...je Mbowe aliwahi kusemea nini kuhusu ubadhirifu ndani ya Halmashauri yake ????

jibu ni HAKUNA ....halafu mzee mzima na cheo kikuubwa cha KUB anaita waandishi kuongelea LUGUMI NA BUNGE LIVE!!...GODDAMN!!

Hebu jifunzeni kudhibiti halmashauri zenu kwanza ndio mje kuongelea ya kitaifa....

CCM Kama ilivyomchinjia baharini mhusika mkuu wa Richmond ndivyo itakavyowachinjia baharini wote wanaohusika na ubadhirifu...

Poleni kwa kiwewe cha kasi ya #HapaKazi tu

Dedication to P didy
Kuna mtu alishawahi kuja na mada Mbowe ni Jipu ,kwa maoni yangu hatoshi kuwa KUB.
 
Watu wengine bwana, wameshikwa na report ya CAG na ndiyo habari ya mjini tangu Jana. Waliokerwa na hali hiyo wana haha kuanzisha mijadala kuhusu Mbowe. Watu wote wapuuzeni kwa kwa sasa tujadili report ya CAG hayo mengine tumesha wahi kuyasikia ama tutayajadili wakati mwingine .
 
Back
Top Bottom