Uko tayari kwa Phantom 6 September 26?

Uko tayari kwa Phantom 6 September 26?

TECNO Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
192
Reaction score
217
Achana na iPhone, Note 7 na Huawei, Phantom 6 kutoka Tecno itafunika zote kwa muundo wake, camera 21MP, processor 16GB ROM, GB kibao na muonekano mwembamba wa 4.69mm kuliko simu yoyote uliyowahi kuiona.

Kutoka kwa Millard Ayo Instagram page
 
Itapatikana kwa sh ngapi?
 
Yahani nyinyi tecno kila mkiaka toleo jipya ata mtu akinunua simu zenu kitaa anatamba siku mbili ya tatu utasikia phamtom 1000 wakati c8 imetoka juzi tu leo ukiwa nayo ukimbizi badilikine mkae ata mwezi mmoja kila asubui mnatoa simu
 
Yaani simu ya 16gb ndio ya kuiwekea ligi na note7 jamani,

Tecno mbona mna masihara namna hii????
 
Simu ina internal 16gb kisha mnaifananisha na note 7, wakati note 4 ina 32gb!!!!!! Nilinunua techno J8 yenye camera 13mp, lakini nikapigwa bao na mwenzangu mwenye samsung yenye 8mp......Acheni kufananisha samsung na vitu vya kijinga....
 
Back
Top Bottom