Ukizini una nyongwa

kwanini sasa uzini mkuu ndio adhabu yake hiyo..
Good day Mkuu,
Salamu za heri kwa wote: Mkuu achana na propaganda hizo, huo ni UONGO kuwa walizini:- hao walikuwa maCriminal genge lilo kuwa linafanya UJAMBAZI,MAUAJI,WIZI,UVAMIZI na UBAKAJI na hayo hapo uyaonayo ndiyo MALIPO yao......(ujazi wa aina hiyo upo Saudi Arabia miaka mingi sana) Sasa watetea haki na usawa huruma ziko wapi? Wenzenu wame weka wazi kabisa tena mchana kweupe !! mwenye ng'oo au kuhoji asisemee humu "jF" azuwie kama Rijali..!!

Huko kuna hukumu ya UPANGA kwa mtu alokuwa na mazoea ya ujambazi wakutumia silaha. Je kuna shaka au ufanisi wa utetezi wako/wenu pelekni UMOJA wa Matifa au HUMAN RIGHTs au hata pengine mtasikilizwa.
ila kama unapenda kuwatukana Watanzania wenzio na wandugu wa uswahilini sema na uchokozi ni wako. Siku moja mtakutana. Longlive Neno la Mungu.
 

Hivi ni baadhi ya vitu vinavyonifanya niuchukie sana uislam japo sina tatizo na waislam, wana bahati sana waislam wanaoishi nchi kama Ufaransa, Marekani na hata Tanzania kuliko waislam wanaoishi nchi zinazojiita za Kiislam
 
Wewe unapenda watu wazini?kwa nini mungu aliweka adhabu ya kupigwa mawe ktk agano la kale?

Angalau umejua ni agano la kale. Akili zako za kale pia.

''yeyote asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumtupia jiwe''
Wote wakasepa.
 
Dini gani inayoruhusu Zinaa?
 
Hyo adhabu safi sana ije hapa kwetu

Hapa kwetu haiwezekani labda Iundwe tume ya marekebisho ya Katiba, ambayo mwenyekiti wake awe Ponda, makamu wake awe Shehe Ilunga hasani na wajumbe wake wawe jamii ya Maundumula lakini wakikosea tu kuweka mtu mweledi hata mmoja tu hata huu ujinga unaoitwa Kadhi koti hautawezekana katika nchi yetu nzuri
 
Last edited by a moderator:
Dini gani inayoruhusu Zinaa?

Dini gani inayoruhusu umue mwenzie sbb amemkosea mungu na si wewe? acha akakutane na adhabu ya Mungu na si kibinadamu kumnyonga bila huruma. Nidhabi kubwa sn kumuua mwezio, kuliko kuzini, kama kuzini ni dhambi basi tusingeambiwa tuoe, ili kuacha kuzini ovyo, lkn kama ukikosa tubu kwa Mungu wako acha dhambi, neno linasema katika Ezekiel, kama mtu muovu akiacha uovu wake akatenda yaliyohalali na haki hakika ataisha hatatupwa motoni lkn si kumnyonga.
 
Ina maana hayo magari ni spesho kwa ajili hiyo au ni miti hamna
 

Ila kwa nini uzini lakini? si uoe tu.......Hebu jiulize kwanza ni kwanini nchi za falme za kiarabu hakuna maambukizi sana ya ukimwi kama TZ yetu hii. Wewe unafikiri nini sababu?
 
Ila kwa nini uzini lakini? si uoe tu.......Hebu jiulize kwanza ni kwanini nchi za falme za kiarabu hakuna maambukizi sana ya ukimwi kama TZ yetu hii. Wewe unafikiri nini sababu?

Mtu ambae hajaoa hazini bali anafanya uasharati
 
Angalau umejua ni agano la kale. Akili zako za kale pia.

''yeyote asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumtupia jiwe''
Wote wakasepa.

Hapo penye red hapo umenichekesha sana kiongozi ila naomba utambue amri za Mungu hazibadiliki na hazitabadilika kamwe.
 
Hapo penye red hapo umenichekesha sana kiongozi ila naomba utambue amri za Mungu hazibadiliki na hazitabadilika kamwe.

Hata mimi sijazikataa, lakini nilichohoji ni NANI MWADILIFU KAMA MUNGU KIASI CHA KUWAHUKUMU WENGINE KWA SHERIA YA MUNGU?
 
Na ndio maana kiwango cha maambukizi ya ukimwi katika nchi hizo kipo chini sana. Dawa ya binadamu muwekee sheria ngumu. Huo muda wa kula chabo hadi dushelele isimame namna hiyo utaupata wapi ukiwa Yemen. Ukikumbuka adhabu yake ipoje hamu inakuishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…