Wewe unapenda watu wazini?kwa nini mungu aliweka adhabu ya kupigwa mawe ktk agano la kale?
Wenyewe pia sharia hiyo hawaipendi
nani atakubali kwa kula vitu vyako
unyongwe namna hiyo?
Sasa ukiwa Yemen halafu dushelele
likasimama si una kufa yaani ni kama
mwizi aliyekurupushwa.
Wenyewe pia sharia hiyo hawaipendi
nani atakubali kwa kula vitu vyako
unyongwe namna hiyo?
Sasa ukiwa Yemen halafu dushelele
likasimama si una kufa yaani ni kama
mwizi aliyekurupushwa.
Ukipatikana Yemen unafanya hivi unahukumiwa kunyongwa hadharani
Huu ni ukatili wa ajabu sana yaaani kuzini tu mtu ananyongwa bila huruma
Kwanini wasikatwe Dushelele ili wasizini tena?
Mbona mwizi anakatwa mkono!
Kama mtu anakula dudu ananyongwa, Je akiua atafanywa nini?Hapo inabidi waboreshe basi Sharia
Salamu za heri kwa wote: Mkuu acha propaganda zako huo ni UONGO kuwa walizini:- hao walikuwa maCriminal genge lilo kuwa linafanya UJAMBAZI,MAUAJI,WIZI,UVAMIZI na UBAKAJI na hayo hapo uyaonayo ndiyo MALIPO yao......(ujazi wa aina hiyo upo Saudi Arabia miaka mingi sana) Sasa watetea haki na usawa huruma ziko wapi? Wenzenu wame weka wazi kabisa tena mchana kweupe !! mwenye ng'oo au kuhoji asisemee humu "jF" azuwie kama rijali..!!
Hawa ni raia watano wa Yemen wamepatikana na hatia ya kuzini na wanawake wa Saudia Arabia hukumu yake ndo hiyo majina yao ni Khaled, Adel, Qasim Saraa, Saif Ali Al Sahari na Khaled Showie Al Sahari.
Sasa wenzangu wanao shabikia Mahakama ya Kadhi au mambo Sharia hii adhabu itakuwepo? Kama ndo hivyo haki ya Mungu wengi tutakwenda na maji kwa kuning'inizwa hivi. Maana huko Yemen hata ukimwangalia sana mwanamke inahesabika umezini ukikonyeza ndo balaa inabidi kuvaa tinted kabisa.
Salamu za heri kwa wote: Mkuu acha propaganda zako huo ni UONGO kuwa walizini:- hao walikuwa maCriminal genge lilo kuwa linafanya UJAMBAZI,MAUAJI,WIZI,UVAMIZI na UBAKAJI na hayo hapo uyaonayo ndiyo MALIPO yao......(ujazi wa aina hiyo upo Saudi Arabia miaka mingi sana) Sasa watetea haki na usawa huruma ziko wapi? Wenzenu wame weka wazi kabisa tena mchana kweupe !! mwenye ng'oo au kuhoji asisemee humu "jF" azuwie kama rijali..!!Kama mtu anakula dudu ananyongwa, Je akiua atafanywa nini?
Sheria gani hizi hazitoi adhabu kulingana na uzito wa kosa?
Je akibaka atapewa adhabu gani..
muongo ile adhabu siyo ya mungu ni wayahudi.