Ukiwa Tapeli usiwe msahaulifu

Ukiwa Tapeli usiwe msahaulifu

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,165
Reaction score
43,854
Nasikia wamefungua na Acc kwa ajili ya kuchangia maafa ya MV nyerere..! Mwisho wa siku aseme mliponichagua nilisema kivuko kitazama...Kwa hili watatusamehe tu maana hela tulizochangia maafa zote hazikuwafikia walengwaa labda sasa watoe namba za wahusika tuwatumie direct au hela za marudio ya Uchaguzi zipelekwe huko...otherwise Mungu awalaze kwa Amani marehemu wote na Awatie nguvu wafiwa wote Amen.
 
Watu washavurugwa
 
Hii hapa
tapatalk_1537672882052.jpeg
 
hizi tutanunulia kivuko kipya watu wameishakufa hawarudi tena.....
 
Hahaaa wanasema mjanja hula mara mojaa, atakae pigwa asaiv amejitakia, kagera na lake vicent hakujifunza
 
Ukipigwa na SAA hizi wee falaaa...!! Sitoi hata miaa
 
mchuma janaga hula na wakwao mnarudia uchaguzi mnachezea hela sasa mjibebe .
 
Mi nadhani waseme tu kabla kama wanahitaji kuzitumia kwenye issue zingine tujue kabisa kuliko kuja kubadilisha baada ya hela kuchangwa
 
Nasikia wamefungua na Acc kwa ajili ya kuchangia maafa ya MV nyerere..! Mwisho wa siku aseme mliponichagua nilisema kivuko kitazama...Kwa hili watatusamehe tu maana hela tulizochangia maafa zote hazikuwafikia walengwaa labda sasa watoe namba za wahusika tuwatumie direct au hela za marudio ya Uchaguzi zipelekwe huko...otherwise Mungu awalaze kwa Amani marehemu wote na Awatie nguvu wafiwa wote Amen.
Unaweza sema na hii nayo ni njia mpya ya kuingiza mapato serikalini!!
 
Back
Top Bottom