Ukiwa mwanaccm akili ya kawaida inaondoka?

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Nimemsikiliza msemaji wa CCM leo.. Hakika naweza kuthibitisha, ukishakuwa CCM tu ubongo unabadilika na kuwa kitu cha ajabu.. kama vile ndio unaanza kujifunza kuwaza! Hata chalii yangu wa chekechea ana reason correctly!!

CCM mtaendelea kutegemea umbumbumbu wa watu mpaka lini? Ndio sababu hamtaki watu wasome na kuwanyima mikopo au?

Wacha neno la ufahamu liendelee kuwafikia wanadamu kule waliko. Huwezi mtukana mwananchi ambaye hajahifadhi akiba ya chakula wakati hujamfundisha umuhimu wa kufanya hivyo...
 
Hivi kuna binadamu/mkulima anayetegemea mvua asiyejua kuna kupata au kukosa? Huo ndo ujinga mnaoendekeza na kuutetea? Sad
 
Was there a need to make a press conference. What was his intended take home msg? Polepole tafadhali
 
Ni Bora waendelee kutukomesha hivi hivi watukamue kwa maneno yakuudhi mpka 2020 nadhani tutafanya maamuzi sahihi.
 
Back
Top Bottom