mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,522
- 7,517
Kuna jamaa mmoja yeye alikuwa muwindaji, basi siku moja alivyotoka kwenye mawindo yake akawa amekuja kijiweni kupiga story na wenzake, jamaa akaanza kuwasimulia wenzake, aisee juzi katika kuwinda winda kwangu nafika mitaa fulani hivi nikakutana na pundamilia, kwakuwa sikuwa na silaha wala mbwa, nikaanza kumkimbiza yule punda milia nikamkimbiza nikamkimbiza nilipomkaribia nikamkata mtama.
Mara simu ya yule jamaa muwindaji aliekuwa anawasimulia story wenzake ikawa imeita, akacheki ilikuwa namba ya mpenzi wake akapokea, alivyo maliza kuongea na ile simu!!! Akawarudia jamaa zake hivi niliishia wapi?
Jamaa zake wakamjibu pale ambapo, " ulivyomsogele ukamkata mtama" jamaa akadakia aah basi nilivyomkata mtama nika "mtombaa" jamaa zake wakabaki kujiuliza ni pundamilia mnyama wa polini tunaemjua na sisi au??