Ukiwa Mnafiki Utafaidi sana CCM

Basi kama ni hivyo Dr.W.Slaa ni mchawi namba moja!

Amefanyaje? We mtu sijawahi kusoma "mchango" wako ukiwa unajibu hoja hata siku moja zaidi ya kutaja majina ya watu (iwe ni kuwasifia au kuwakashifu) bila kutoa ushahidi wa sifa au kashfa zao!
 
Sio unafiki tu,pia km waweza kutesa mtu baada ya kumteka na kubambika kesi,kudhulumu na kutishia kwa bastola km Rage na yulee mjumbe wa halmashauri kuu wa ccm alouwawa na wananchi miezi kadhaa ilopita baada ya kuwadhulumu ardhi yao...chezea magamba weye!
 
unafiki,rushwa na wizi wa mali za umma ni sifa kubwa ya kupewa vyeo ccm, kwa waliopo hapa jf ukiwa mnafiki,usiyeshirikisha ubongo kufikiri kama huyu CHOO na Simiyu yao basi buk 7 itakuwa halali yako!
 
Amefanyaje? We mtu sijawahi kusoma "mchango" wako ukiwa unajibu hoja hata siku moja zaidi ya kutaja majina ya watu (iwe ni kuwasifia au kuwakashifu) bila kutoa ushahidi wa sifa au kashfa zao!

Anza kwa kusoma Post ya Elly B niliyoijibu, Acha kusukumwa na ushabiki.
 
Anza kwa kusoma Post ya Elly B niliyoijibu, Acha kusukumwa na ushabiki.

Anaetakiwa kuacha kusukumwa na ushabiki ni wewe. Nijibu hoja yangu (na umejiongezea nyingine, nipe ushahidi kuwa mimi ni mshabiki)!
 
...salute mkuu...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…