Prince Tumbo
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 910
- 247
Msigwa tangu atoe ile hotuba yake ya UDAKU jamii inamuona kama mwehu tu...
Bunge linahalibiwa zaidi na spika makinda, yeye haongozi kwa kufuata kanuni, yeye huongoza kwa utashi wake binafsi!
...ukiwa ccm una 95% ya kuwa mchawii...
Kelele za wakosaji!, hamna chochote mnachochangia cja maana!
Basi kama ni hivyo Dr.W.Slaa ni mchawi namba moja!Exactly! Hasa kama definition ya uchawi itaangaliwa kwa maana pana, ambayo haitaishia kwenye kuwanga, kuloga na kutembea uchi usiku!
Kila mtu anayesababishia wengine matatizo ni mchawi tu. Hata kama anavaa suti na amesoma. Ni mchawi tui! Kila asiyependa maendeleo ya wengine ni mchawi tu. LAKINI MTU AMBAYE ANAKWAMISHA MAENDELEO YA TAIFA, HUYU SIYO TU NI MCHAWI, ILA PIA NI MSALITI NA HAINI! Haipaswi kumwacha tu!
Sifa ya kwanza kuwa ccm lazima uwe muongo.
Exactly! Hasa kama definition ya uchawi itaangaliwa kwa maana pana, ambayo haitaishia kwenye kuwanga, kuloga na kutembea uchi usiku!
Kila mtu anayesababishia wengine matatizo ni mchawi tu. Hata kama anavaa suti na amesoma. Ni mchawi tui! Kila asiyependa maendeleo ya wengine ni mchawi tu. LAKINI MTU AMBAYE ANAKWAMISHA MAENDELEO YA TAIFA, HUYU SIYO TU NI MCHAWI, ILA PIA NI MSALITI NA HAINI! Haipaswi kumwacha tu!
Waongo ni hawa wanaowadanganya kuwa wanakomboa nchi kumbe wanafanya biashara ya siasa.
Waongo ni hawa wanaowadanganya kuwa wanakomboa nchi kumbe wanafanya biashara ya siasa.