C Chaz C Member Joined Feb 4, 2013 Posts 12 Reaction score 4 Mar 21, 2014 #1 Watu tunashangaza sana mtu akiwa anaumwa mahtuti na hana uwezo akiomba msaada kila anasema hana kitu. Akisha fariki michango ya watu inakaribia milion. Hapo inakuaje? Inamaana kifo ni muhimu kuliko uhai
Watu tunashangaza sana mtu akiwa anaumwa mahtuti na hana uwezo akiomba msaada kila anasema hana kitu. Akisha fariki michango ya watu inakaribia milion. Hapo inakuaje? Inamaana kifo ni muhimu kuliko uhai
Tyta JF-Expert Member Joined May 21, 2011 Posts 12,767 Reaction score 10,536 Mar 21, 2014 #2 respect for the dead
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Mar 21, 2014 #3 We jamaa umeongea point sana!! Ntarudi.