Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Vyuo vingi ambavyo ni makao makuu vinakuwaga vigumu sana, kila sheria inafatwa kwa hali ya juu sana na ukiteleza kidogo tu umekwenda,
Hali ni tofauti kidogo huku kwenye matawi unakuta kwanza wanafunzi ni wachache, walimu hawafuatiliwi sana, hakuna bureacracies, n.k hata kusuluhisha mambo na uogozi ni rahisi.
Naona hiki ndio kinachochangia wlimu ya kwenye matawi kuwa nyepesi kuliko huko makao makuu, si ajabu kukuta second upper class zikiwa 60% ya wahitimu wa matawi na si ajabu kukuta 60% ya wahitimu wa makao makuu wana second lower class na pass.
mwisho wa siku cheti cha makao makuu na tawi hutoka vile vile bila tofauti....
Uko sahihi sanaVyuo vingi ambavyo ni makao makuu vinakuwaga vigumu sana, kila sheria inafatwa kwa hali ya juu sana na ukiteleza kidogo tu umekwenda.
Hali ni tofauti kidogo huku kwenye matawi unakuta kwanza wanafunzi ni wachache, walimu hawafuatiliwi sana, hakuna bureaucracies, n.k hata kusuluhisha mambo na uongozi ni rahisi.
Naona hiki ndio kinachochangia wlimu ya kwenye matawi kuwa nyepesi kuliko huko makao makuu, si ajabu kukuta second upper class zikiwa 60% ya wahitimu wa matawi na si ajabu kukuta 60% ya wahitimu wa makao makuu wana second lower class na pass.
Mwisho wa siku cheti cha makao makuu na tawi hutoka vilevile bila tofauti.
Hiyo udsm huwa wanafundisha rocket sciences?hahahahaha ivo unafahumu udsm kweli? maana matawi yake kama MUCE ya iringa ni hATAR sana
Tatizo lipo makao makuu, yani elimu inakuwa kama vita, yani kama kukomoana hivi, ujue walimu wengi wa makao makuu ni maprofesa ama wana qualifications za juu, msoto waliopata naona wanataka wahamishie hasira kwa wanafunzi...huku kwenye matawi kumkuta profesa nadra sana wengi ni wenzetu tu wenye masters za vyuo vya tz,,,kuna chuo nakijua ni tawi yani hakuna aliewahi kucarry maana mkifanya sup wote mnapitishwa na makarai maisha yanaendelea, mtu akijisikia hajajiandaa kupiga test anasingizia kuumwa anaambiwa akipona atatungiwa test upya ataifanya hata kesho, nenda makao makuu kama utakuta mteremko huu!! Mfano mdogo tu kuna ndugu yangu alipata sup za kutosha pale university of arusha tawi kuu ilibidi aache tu kusoma akaenda kujisajili upya kurudia mwaka ila akasomea tawi lile la town, basi dogo akawa ananisimulia elimu imegeuka kuwa nyepesi, walimu wako peace, n.k Dogo alipata cheti ni upper second class diploma akaendelea hapo hapo kwenye tawi akapasua hio hio second upper akajitutumua kwenda kusomea degree IFM alipata supp za kutosha ila alimaliza na second lower kwa taabu.Vyuo vingi ambavyo ni makao makuu vinakuwaga vigumu sana, kila sheria inafatwa kwa hali ya juu sana na ukiteleza kidogo tu umekwenda,
Hali ni tofauti kidogo huku kwenye matawi unakuta kwanza wanafunzi ni wachache, walimu hawafuatiliwi sana, hakuna bureacracies, n.k hata kusuluhisha mambo na uogozi ni rahisi.
Naona hiki ndio kinachochangia wlimu ya kwenye matawi kuwa nyepesi kuliko huko makao makuu, si ajabu kukuta second upper class zikiwa 60% ya wahitimu wa matawi na si ajabu kukuta 60% ya wahitimu wa makao makuu wana second lower class na pass.
mwisho wa siku cheti cha makao makuu na tawi hutoka vile vile bila tofauti...
_________________________________________________________________________________________
Ndugu Machozi ya Simba unashauri nini kifanyike ili kuliondoa tatizo ulilolitaja? Je unashauri wanafunzi wakasome makao makuu au kwenye matawi?
Ahsante
Tatizo lipo makao makuu, yani elimu inakuwa kama vita, yani kama kukomoana hivi, ujue walimu wengi wa makao makuu ni maprofesa ama wana qualifications za juu, msoto waliopata naona wanataka wahamishie hasira kwa wanafunzi...huku kwenye matawi kumkuta profesa nadra sana wengi ni wenzetu tu wenye masters za vyuo vya tz,,,kuna chuo nakijua ni tawi yani hakuna aliewahi kucarry maana mkifanya sup wote mnapitishwa na makarai maisha yanaendelea, mtu akijisikia hajajiandaa kupiga test anasingizia kuumwa anaambiwa akipona atatungiwa test upya ataifanya hata kesho, nenda makao makuu kama utakuta mteremko huu!! Mfano mdogo tu kuna ndugu yangu alipata sup za kutosha pale university of arusha tawi kuu ilibidi aache tu kusoma akaenda kujisajili upya kurudia mwaka ila akasomea tawi lile la town, basi dogo akawa ananisimulia elimu imegeuka kuwa nyepesi, walimu wako peace, n.k Dogo alipata cheti ni upper second class diploma akaendelea hapo hapo kwenye tawi akapasua hio hio second upper akajitutumua kwenda kusomea degree IFM alipata supp za kutosha ila alimaliza na second lower kwa taabu.
Kweli kabisa branches elimu rahisiTrue say. Kuna ndugu yangu CBE Mwanza alipata upper second Accounting degree. Mpaka leo bado nashangaaaaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa kusoma branch kunalipa , wakati huyo angesoma HQ hata lower second hasingepataTrue say. Kuna ndugu yangu CBE Mwanza alipata upper second Accounting degree. Mpaka leo bado nashangaaaaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadhi vyiko sawa , mwenye degree ya mzumbe dsm na wa moro wote sawa, mwenye degree ya cbe dar na Dom wote sawaTupe ushauri jinsi ya kivipandisha hadhi na kuwa sawa,usikimbilie urahisi
Sent using Jamii Forums mobile app