ndo hivyo mashoga walivyo.....ila komaa nae....mwizi tu huyo.....hajapoteza wala nini....vipo anavyo....ila Zindu....pamvu na ndweo maana yake ni nini.....?
hiyo lap top ulivyo iweka
naionea wivu lol
The Boss wapi avatar? nilisoma posts zote bila kujua kumbe na wewe umesha jibu, hadi nilipomsoma Bi Zinduna hapa...Ile Avatar yako yenye uso wa upole maridhawa iwapi? Irejeshe kaka, wajua ilikuwa yatuvutia kweli.
Ndweo maana yake ni Kiburi au Majivuno kwa Kingazija.
Mnisamehe, na kama lugha yangu ni ngumu naomba muwe mnaomba ufafanuzi kama alivyofanya mwenzenu.
Au amroge huyo rafiki yake ili awe chizi au.... Nalog offtafuta mtu alie karibu nae na umuombe akamwambie unaomba 'vidani' vyako, or equivalent kifehda. akiendelea kujifanya victim basi peleka kesi polisi. yeye amesha onesha sio rafiki yako tena, kwa nini unamlea?
tafuta mtu alie karibu nae na umuombe akamwambie unaomba 'vidani' vyako, or equivalent kifehda. akiendelea kujifanya victim basi peleka kesi polisi. yeye amesha onesha sio rafiki yako tena, kwa nini unamlea?
Nilikwenda kumweleza Nyanya yake, na alipoitwa na kuulizwa, akaanza kutoa ndarire nyingi zisizo na maana. Lakini nimempa juma moja, awe amenilipa la sivyo nitajua cha kufanya.
Kua makini sana mpendwa, nakushahuri usimfate washawasha, alie mroga yeye kisha fariki kwa hiyo tumeamua kumpenda na kumvumilia hivo hivo ila hafai kabisa kaka yetu huyu! 🙂Au amroge huyo rafiki yake ili awe chizi au.... Nalog off
Duh! Lazima atalipa tu,inaonekana kwa sasa hana fedhwa.Mwambie akurejeshe huyo mwizi tuu aliazimia nini kama hawezi kutunza? mbona chupi yake hakupoteza karudi nayo? mwambie asikushughulishe kwa fikra una mengi yanakutosha.
Inaonesha bibie silaha ya uchawi huitumii kabisa. Nalog offKua makini sana mpendwa, nakushahuri usimfate washawasha, alie mroga yeye kisha fariki kwa hiyo tumeamua kumpenda na kumvumilia hivo hivo ila hafai kabisa kaka yetu huyu! 🙂