uta Member May 1, 2012 54 24 May 11, 2016 #1 Ukitaka nunua bati kwa bei ya agent nitafute ntakupeleka.okoa gharama jenga kwa bei nafuuu Tupo Tazara-Dar es salaam Piga
Ukitaka nunua bati kwa bei ya agent nitafute ntakupeleka.okoa gharama jenga kwa bei nafuuu Tupo Tazara-Dar es salaam Piga
Disposal JF-Expert Member Oct 22, 2013 285 78 May 22, 2016 #3 hiyo Dsm mimi.mwenyew ni muuzaji nikiwa kama Agent
adam kayombo JF-Expert Member Oct 3, 2014 262 140 May 22, 2016 #4 Mimi niko kibaha sasa usafiri na bei inakwendaje?
cyrustheruler JF-Expert Member Jul 20, 2015 2,044 1,869 May 22, 2016 #5 nataka kuwa wakala nakaribia kufungua hardware yangu hivi karibu ni hivyo nitawatafuta
bigone enterprise Member May 20, 2016 25 6 May 23, 2016 #6 adam kayombo said: Mimi niko kibaha sasa usafiri na bei inakwendaje? Click to expand...
uta Member May 1, 2012 54 24 May 23, 2016 Thread starter #7 Kule Kwetu said: Ni kwa Dsm tu au hata mikoani? Click to expand... Kwa mikoa yote Tanzania
M mtukuyu Senior Member Apr 27, 2013 129 62 May 23, 2016 #8 mnauza bei gani? na bati zenu zina upana wa size ngapi?