Ukistaajabu ya Musa utaona ya 'Corona Festival' nchini Tanzania

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,923
13,344
Nilidhani ni utani kumbe ni kweli kwamba tarehe 24 kuna bonge la festival la 'kufukuza' Corona yaani 'farewell party'. Eti na watu wanaalikwa waende wakijivinjari na wakadensi ili kusherehekea ushindi wao dhidi ya Corona.

Kesho utasikia wakituambia kwamba Kenya tuige na hili pia. Majirani nawaombeni tafadhali mkitumia mmea msiwe mnasahau kutoa mbegu kwanza.

Wewe unafikiri hasira zote wanazokua nazo kila tukiwapima na kutangaza, zinatokana na hii bash, maana leo ukisema madereva wao 182 wana kirusi utakua umesababisha wasitishe yote haya.

Ndio maana wametulilia tusiwe tunatangaza, tunawapokeza waathirika wao kimya kimya.
 
Ninyi wapumbavu mmejifungia munashindwa kufanya yenu eti munasubiri dawa ya wazungu munajua inakuja liki na alikwambieni nani kirusi dawa yake inapatikana kilhic hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mwanzo uliposikia wa Tanzania wanachapa kazi ulistajabu hivyo hivyo hatukushangai
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahivyo wakenya hawachapi kazi? Naona propaganga za kilumumba ambazo mmekuwa mkilishwa zimeteka akili zenu kweli kweli na mnadhani kwamba wakenya wote wapo usingizini na nchi ya Kenya ipo kwenye total lockdown kama Uganda.
 
Bado tu mtailewa maana ya imani ni nini. Ukuomba unashukuru hata kabla hujaona majibu. Hio ndo imani. Kwa vile ninyi ni ma follower wetu waaminifu hata hili mtaiga tu. Ni ubishi wenu tu lakni tunawapa muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa kweli aisee hii tumedesa kwa Yesu...kabla ya kumfufua Lazaro aliwaambia ondoeni jiwe halafu alipouona mwili wa Lazaro kaburini akinua macho mbinguni nakusema "asante Mungu kwakuwa umenisikia" ndipo akamfufua

Kadhalika alifanya hivyo alipowalisha maelfu kule jangwani kwa samaki wawili na mikate mitano.

Nasisi kwa imani hiyo leo yumemshukuru Mungu hata kama corona bado ipo ila tunamshukuru kwa hatua aliyotufikisha.
Asikiae na afahamu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unafikiri hasira zote wanazokua nazo kila tukiwapima na kutangaza, zinatokana na hii bash, maana leo ukisema madereva wao 182 wana kirusi utakua umesababisha wasitishe yote haya.
Ndio maana wametulilia tusiwe tunatangaza, tunawapokeza waathirika wao kimya kimya.
Kumbe hawataki kuambia kwamba wana Corona kisa eti wamefanikiwa kuangamiza kirusi hicho? Labda walimpiga kovidi kwa mawe hadi akahamia Kenya na Zambia.
 
Hahaaaaa kweli aisee hii tumedesa kwa Yesu...kabla ya kumfufua Lazaro aliwaambia ondoeni jiwe halafu alipouona mwili wa Lazaro kaburini akinua macho mbinguni nakusema "asante Mungu kwakuwa umenisikia" ndipo akamfufua

Kadhalika alifanya hivyo alipowalisha maelfu kule jangwani kwa samaki wawili na mikate mitano.

Nasisi kwa imani hiyo leo yumemshukuru Mungu hata kama corona bado ipo ila tunamshukuru kwa hatua aliyotufikisha.
Asikiae na afahamu...

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeipeda hii imani yenu ya kubanjuka kwenye madisko na machangudoa kama njia moja za kushukuru Mungu.
 
Maskini majirani natamani kuwaalika huku. Yaani mask tu hazitupi shida ukipenda unavaa ukipenda hauvai
 
Kumbe hawataki kuambia kwamba wana Corona kisa eti wamefanikiwa kuangamiza kirusi hicho? Labda walimpiga kovidi kwa mawe hadi akahamia Kenya na Zambia.

Hawa kinachowaponza ni uchaguzi, baada ya uchaguzi watachangamkia vita dhidi ya corona hadi utawashangaa, juzi wamepewa msaada na mabeberu na kuwezeshwa, unajua corona ilipoanza kunyapia nyapia kwao, wapinzani walilaumu sana serikali kwa uzembe, ikawa sasa ili serikali isizame kwa hizo lawama ikawekeza nguvu nyingi kwenye kufanya corona ionekane kama sio issue ni kaugonjwa fulani hivi.

Hiyo kauli au narrative ndio wana Lumumba waliagizwa kuuza kwenye mitandao kwa kutumia nguvu zote, na ndio unaona wanachangamkia nyuzi zote na kukesha JF, hivyo wanatembea na hiyo kauli mpaka siku CCM watapewa hatamu nyingine kwenye hii awamu ya tano, hii corona ingewafuta kwenye uongozi, maana siku walikua wakipima, yaani kila namba zikipandisha upinzani wanatumia hiyo fursa kusindika lawama. Hivyo imewabidi watulize, na ndio maana unaona wanapata hasira wakitajwa na majirani.

Kwa hivyo wanachokitaka sasa hivi ni kila Mtanzania akigunduliwa kuwa na corona, taarifa zake zinafichwa na kupokezwa kimya kimya, huu mchezo utaendelea hivi hadi baada ya uchaguzi.
 
IMG-20200520-WA0000.jpg
 
Wakenya bwana......

Mnatamani muwe daslam??

Karibuni saana. Sisi koona tulisha imaliza. Tunajenga uchumi.

komesha korona
 
Maskini majirani natamani kuwaalika huku. Yaani mask tu hazitupi shida ukipenda unavaa ukipenda hauvai
Shukran, lakini kukosa kuchukua tahadhari kwa kupenda ni ubinafsi wa hali juu. Yaani ujitose kwenye mikusanyiko kama hiyo ambayo sio ya lazima, alafu uchague kutovalia barakoa. Kisha unafunga safari ya kuenda vijijini kutangamana na babu, bibi, baba, mama, wajomba zako au wakongwe unaowajua hapo hapo unawaambukiza wapendwa wako, ambao tayari hicho kirusi ni hatari zaidi kwao. Baadaye unaanza kuwalilia wenzako kwamba misiba imekuandama.
 
Ninyi wapumbavu mmejifungia munashindwa kufanya yenu eti munasubiri dawa ya wazungu munajua inakuja liki na alikwambieni nani kirusi dawa yake inapatikana kilhic hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya bwana......

Mnatamani muwe daslam??

Karibuni saana. Sisi koona tulisha imaliza. Tunajenga uchumi.

komesha korona
Maskini majirani natamani kuwaalika huku. Yaani mask tu hazitupi shida ukipenda unavaa ukipenda hauvai
Hahaaaaa kweli aisee hii tumedesa kwa Yesu...kabla ya kumfufua Lazaro aliwaambia ondoeni jiwe halafu alipouona mwili wa Lazaro kaburini akinua macho mbinguni nakusema "asante Mungu kwakuwa umenisikia" ndipo akamfufua

Kadhalika alifanya hivyo alipowalisha maelfu kule jangwani kwa samaki wawili na mikate mitano.

Nasisi kwa imani hiyo leo yumemshukuru Mungu hata kama corona bado ipo ila tunamshukuru kwa hatua aliyotufikisha.
Asikiae na afahamu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tutajifungia tu ila na nyinyi mnafaa mtupiku wakati huu na mkishindwa basi tutaendelea kuwa ndugu yenu mdogo aliyefanikiwa kuwa vizuri kiuchumi😂😂😂😂Povu ruksa....
 
Back
Top Bottom