Ukiskia ngoma draw ndio hii

Duuh! Yaani hapo nasingizia mke wangu mimi ni moja ya wanakamati wa tume ya kuchunguza makinikia nasikia humu uvunguni kuna makontena ya mchanga wa makinikia
 
Hapo ni kulala hadi usiku, wakijimwaya-waya juu, nyie mnajimwaya-mwaya chini... Inaendelea kuwa ngoma droo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…