we akili yako sikuwez
Nanyonya mafuta kwa kuzingatia yafuatayo.
1: nahakikisha nachota mafuta bila kumwagamwaga ovyo.
2: Nahakikisha hakuna chacho chochote cha moyo ama shughuri yoyote inayowezeshwa na moto karibu na tunapochotea wese.
3: Nahakikisha betri haiguswi na kiumbe yeyote kwenye uchotaji. Yaani bora nifungwe kifungo cha maisha kwa kumuua mtu aliyesogelea betri kwenye uchotaji wa wese.
4: Kuhakikisha tunafanya faster kabla police hawajaja maana wanaweza kutusambaratisha kwa mabomu wakatj lile gari ni nuklia tayari