KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Mwakyembe sasa unaweweseka umefikia maahali tunakusahau si muda mrefu utakuwa kama mwenzio anajenga mabanda ya kuuza dagaa na kuendesha baiskeli hivi unaanzaje kuwambia wasanii wasiimbe hiki wala kile kwani TOT utawambia waimbe Taarabu pekee we mzee umeisahau CCM??
Haya yetu macho.
Haya yetu macho.