SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,923
- 2,003
Pasafi Kweli
Pengine mpaka Rais apite ndiyo Mkuu wa Mkoavataamka.
Mi kwa kweli namsifu mkuu wa mkoa anajitahidi kwenye kuifanya dar iwe safi kuna watu wachache hawasimam sawa sawa.kuna watu wanachojua ni kuwategea watu tu uko jangwani na k.koo kusubiri watu wakojoe au watupe viganda vya vocha wawatoze fain wakat kaz iko kubwa ya kuiweka dar safi kwanza kupitia hao vijana wakamataji kabla ya kujazana kat kat ya mji kuvizia watu.Pengine mpaka Rais apite ndiyo Mkuu wa Mkoavataamka.
Sisi waafrika kwa uchafu tu tunakeraHivi ni makusudi au basi tu.wale mnaopita pale kwenye mataa ya Buguruni ile barabara inayochepukia Vingunguti/ Tabata Chan'gombe mtapofika eneo lile la daraja mtaiona hii kero nisaidieni kuipiga picha na muipost. Hata nyie mnaolekea Ubungo ukivuka tu mataa kabla ujalifikia daraja utakiona cha kukipiga picha. Wahusika labda wataamka na kuliondoa dampo lile lililo barabarani linaharibu dhana nzima ya kuifanya Dar kuwa safi.
Hizo hapo.View attachment 1269103View attachment 1269104
Na buguruni kulivyo na vibaka wa simu, ukiitoa tu upige picha wanapita nayoNipo kwenye daladala naanzaje kumwambia dereva asimamishe gari ili nipige picha? Mi naona wenye magari watatusaidia
Si lazima daladala isimame ili upige picha. Camera inafreeze, we piga tu.Nipo kwenye daladala naanzaje kumwambia dereva asimamishe gari ili nipige picha? Mi naona wenye magari watatusaidia
Halafu uchumi wake unakua kwa kasi sana. Akchuale ni number 53 Africa.Hilo ndiyo jiji bora Africa Mashariki na kati๐๐
Nina harakati binafsi inaitwa rula ya jamii yaani inashughulikia mambo yakijamii situmwi na mtu ila nikiona ni kero naiingia kichwakichwa najaribu ku solve Mona yaniliyowahi kuivamia nihiyo ya hizo takataka hapo buguruni hapo mataa na kunakipindi pale rozana katikat ya kituo Cha daladala walikua wanamwaga nilifika mpaka kwa afisa mazingira kata buguruni nikamwambia akasema ataliweka sawa ilikua mwaka juzi Kama sio Jana lakin msimu huu wa matunda utaona Tena ngoja nitaenda Tena mkuu... Angalia harakati hyo YouTube seach rula ya jamii official.Hivi ni makusudi au basi tu.wale mnaopita pale kwenye mataa ya Buguruni ile barabara inayochepukia Vingunguti/ Tabata Chan'gombe mtapofika eneo lile la daraja mtaiona hii kero nisaidieni kuipiga picha na muipost. Hata nyie mnaolekea Ubungo ukivuka tu mataa kabla ujalifikia daraja utakiona cha kukipiga picha. Wahusika labda wataamka na kuliondoa dampo lile lililo barabarani linaharibu dhana nzima ya kuifanya Dar kuwa safi.
Hizo hapo.View attachment 1269103View attachment 1269104
Big up mkuu nitacheki.lengo letu ni kuwakumbusha wahusika wawe makini.Nina harakati binafsi inaitwa rula ya jamii yaani inashughulikia mambo yakijamii situmwi na mtu ila nikiona ni kero naiingia kichwakichwa najaribu ku solve Mona yaniliyowahi kuivamia nihiyo ya hizo takataka hapo buguruni hapo mataa na kunakipindi pale rozana katikat ya kituo Cha daladala walikua wanamwaga nilifika mpaka kwa afisa mazingira kata buguruni nikamwambia akasema ataliweka sawa ilikua mwaka juzi Kama sio Jana lakin msimu huu wa matunda utaona Tena ngoja nitaenda Tena mkuu... Angalia harakati hyo YouTube seach rula ya jamii official.