Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,688
- 140,364
kwa nini hukujisitiri wewe kwanza wakati unapiga?ungoje tukusitiriKuumbee....!!
Katika mahusiano watu wanajitoaga ufahamu....hiyo ni hatari sana..Yaliwai kunikuta kwa mchepuko.Nikamtania "baby nimemis k yako na chuchu zako".Dakika hiyo akajipiga na kuntupia!daadek nilimwendea jioni tukafutiana hayo mapicha,nikamuonya siku yakivuja mi simo
kwa nini hukujisitiri wewe kwanza wakati unapiga?ungoje tukusitiri
HapanaMaadili ya Mtanzania mbele
Kumekuwa na wimbi la wadada zetu kupiga picha au kuwa wepesi wa kushawishika kupigwa picha za uchi. Inashangaza sana. Kwa mtu mwenye akili timamu anafikiaje maamuzi haya akijua kabisa hana control na chombo cha mpigaji au mtumiwaji. Picha ikirushwa kwenye mamitandao zinakuja kesi za "kusitiriana"! Tuwa wakweli, Kama mtu kajitoa ufahamu, anayosifa ya KUSITIRIWA?
Katika mahusiano watu wanajitoaga ufahamu....hiyo ni hatari sana..
Yaliwai kunikuta kwa mchepuko.Nikamtania "baby nimemis k yako na chuchu zako".Dakika hiyo akajipiga na kuntupia!daadek nilimwendea jioni tukafutiana hayo mapicha,nikamuonya siku yakivuja mi simo
Hapaswi kusitiriwa...
Alinitoa ufahamu kupiga picha hizo sasa anaomba Poo Au SUB ya nini?
Yaliwai kunikuta kwa mchepuko.Nikamtania "baby nimemis k yako na chuchu zako".Dakika hiyo akajipiga na kuntupia!daadek nilimwendea jioni tukafutiana hayo mapicha,nikamuonya siku yakivuja mi simo
akafanya kweli,kwamba "Dear siwezi kukubania hivyo vyombo ni vyako"kwahiyo ulikua wamjaribu tu ye akafanya kweli......