mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,463
Kuna usemi unasema mtegemea cha ndugue hufa masikini, hiki ninachosema siyo utegemezi, ni kujiwekea mizizi ya baadaye, nina mifano dhabiti ya wachaga, na wahaya kadhaa wamekuwa wakisaidiana ndugu mmoja apatapo anamvuta mwenzake mwisho wote wanavutana.
Hili ni jambo la msingi sana wahindi pia wamekuwa wakifanya utaratibu huu wa kusaidiana ndugu na kujikuta wakiwa juu wote kwa pamoja.
Athari za kutowatoa ndugu zako walau mmoja;
1. Kuwa na tegemezi wengi
2. Hii ya pili pia katika umri wangu nimepata kushuudia jamaa alikuwa na pesa mbayaa, ndugu zake akawaona takataka, mwisho wa siku jamaa kafulia wote wamekuwa level moja kumbe angewasaidia wangevutana, nimewahi ona pia ndugu kamsaidia ndugu, aliyesaidiwa akawa juu , aliyesaidia akaporomoshwa na mikopo akajasaidiwa na aliyemsapoti alipokuwa na hela.
Nataka kusema nini hapa ukipata pesa, ukitusua anza kujijengea misingi anza na ndugu, chagua wawili wenye akili wasaidie watakuwa msaada kwako siku au kwa watoto wako.Acha ubinafsi na kuna katabia flani ka kuona mtu asiye na hela hana akili hivyo unaishia kuwazarau ndugu mke wasichana wengi kila kona we unajiona kidume.