Mleta maada kafika huko kimawazoMachache kuhusu Kingston Jamaica tafadhali,,
Kingston Jamaica ni mji wa kawaida sana, yaani hata jiji la dar es salaam afadhali kwakweli.
Ila kama utapata bahati kafika kwenye hizi nchi harafu utembelee miji yao unaweza just ajabu ya dunia.
Ni NCHI ambazo hazina kelele na zinatafsiriwa tofauti kabisa na jinsi zilivyo miongoni mwa NCHI na miji yake kwa ufupi
1:Uzbekistan _huku utakutana na miji kama
TASHKENT
Ark Bukhara
Registan Samarkand
2:Kazakhstan_huku utakutana na miji(majiji) kama ifutavyo
Astana
Almaty
Semey
Karaganda.
3:Tajikistan hapa unakutana na miji kama
Dushanbe
Hapa nimeweka kwa ufupi tu, nafika mahali mpaka najiuliza sisi ngozi Nyeusi umekosea wapi??? Shida ni nini?
NASEMA je hizi nchi zimejengeka sana, watu wanakula maisha jamani.
Mkuu umefika Port au Prince kama manzese na Kingston kule trench town kama kibera..Pia Manila kama kinondoni moscow 😂🤣🤣🤣 Most of Central asia country miji yake inavutia ila sema tu uchumi ndio unazingua hasa kwa sisi mabahariaKingston Jamaica ni mji wa kawaida sana, yaani hata jiji la Dar es salaam afadhali kwakweli.
Ila kama utapata bahati kafika kwenye hizi nchi harafu utembelee miji yao unaweza just ajabu ya dunia.
Ni nchi ambazo hazina kelele na zinatafsiriwa tofauti kabisa na jinsi zilivyo miongoni mwa nchi na miji yake kwa ufupi.
1. Uzbekistan? huku utakutana na miji kama TASHKENT, Ark Bukhara, Registan na Samarkand.
2. Kazakhstan, huku utakutana na miji(majiji) kama ifutavyo;
Astana
Almaty
Semey
Karaganda.
3. Tajikistan hapa unakutana na miji kama Dushanbe.
Hapa nimeweka kwa ufupi tu, nafika mahali mpaka najiuliza sisi ngozi Nyeusi umekosea wapi? Shida ni nini?
Hizi nchi zimejengeka sana, watu wanakula maisha jamani.
SawaKingston Jamaica ni mji wa kawaida sana, yaani hata jiji la Dar es salaam afadhali kwakweli.
Ila kama utapata bahati kafika kwenye hizi nchi harafu utembelee miji yao unaweza just ajabu ya dunia.
Ni nchi ambazo hazina kelele na zinatafsiriwa tofauti kabisa na jinsi zilivyo miongoni mwa nchi na miji yake kwa ufupi.
1. Uzbekistan? huku utakutana na miji kama TASHKENT, Ark Bukhara, Registan na Samarkand.
2. Kazakhstan, huku utakutana na miji(majiji) kama ifutavyo;
Astana
Almaty
Semey
Karaganda.
3. Tajikistan hapa unakutana na miji kama Dushanbe.
Hapa nimeweka kwa ufupi tu, nafika mahali mpaka najiuliza sisi ngozi Nyeusi umekosea wapi? Shida ni nini?
Hizi nchi zimejengeka sana, watu wanakula maisha jamani.
Kuna nini huko!?Umesahau nchi yangu pendwa Turkimenistan.
Kingston kubwa mzee???? Unataka machache yapi????? Culture or gang violence or influence of reggae music and dance hall music??? Or crime rate????? Sema Caribbean fresh tu kama africa.But central asia wanabagua waafrika labda wakijua umetoka USA.....waafrika sio wengi sana na waliopo ni wa west africa,,,ukiwa urusi nchi nyingi za central asia unaingia kirahisi""" ila fursa ni chache sana kwa mabaharia kutoka africaMachache kuhusu Kingston Jamaica tafadhali,,
Kingston Jamaica ni mji wa kawaida sana, yaani hata jiji la Dar es salaam afadhali kwakweli.