aaah wp! Ndoto zao znatokana na mizimu ya kwao then wanamcngzia Mungu! Hv inaingia akilin kwel mungu atokee kwnye ndto? Wanakera hawa waotaji!
Kabla ya kukurupuka na hizi ndoto na kutangaza ni vyema kujiuliza maswali kadhaa .
Wengine hizo ndoto ni matokeo ya mawazo waliyowaza kabla ya kulala
Mmmmmmmh!!!
Kwa nini mnabisha kuwa manabii wanaongezeka kwa kasi hapa Tanzania?