baraka kashililika
Senior Member
- Dec 23, 2016
- 139
- 89
Ukiota unapiga kelele na ukiomba msaada inashindikana kukusaudia huwa tatizo ni nn?
akiwa usingizini je??Jina mizi hilo mkuu jitahidi kusali kabla hujalala na walati umelala epuka kulala chali!!au kama ukilala chali jitadidi kubana miguu isiiache wazi na mkono mmoja weka kifuani wakati umelala chali!!
Yaani hakikisha wakati unaingia kitandani epuka kulala kama nilivyosema hapo!!kuhusu usingizi hakuna binadamu anaejua kuwa jana yake alilala saa ngapi!!akiwa usingizini je??