Sikuizi snema nyingi, mtu anakuwa na mchepuko wake wamejichimbia mahali lakini kila akimaliza round anakucheki kwa sms au anapiga simu mara bby i miss you oh mara bby nikuletee pizza leo mara bby nimekununulia zawadi na usanii mwingine mwingi. Haya mambo hayana formula mkuu