Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
Huwa naboreka sana unakuta dume zima eti xafi xhwari?¿¿?Pamoja ni hii alert, bado natabiri kwa hawa wasomi wetu wa siku hizi, hasa hawa wa Facebook, instagram, na wale wanaondika "xa" badala ya "sa" , "akuna" badala ya "hakuna", "y" badala ya "why" , n.k hela zao zitaliwa na hawa wajanja vibaya sana.
Huwa sielewi kabisa, huwa inatokeajeHuwa naboreka sana unakuta dume zima eti xafi xhwari?¿¿?
hivi hizi namba wanazipataje???au pale ESM??Huwa sielewi kabisa, huwa inatokeaje
Namba zipi mkuu?hivi hizi namba wanazipataje???au pale ESM??
ohaaaaaaa umetishaa mkuuu duuuu hiyooo kalii eti wasomi wa facebookPamoja ni hii alert, bado natabiri kwa hawa wasomi wetu wa siku hizi, hasa hawa wa Facebook, instagram, na wale wanaondika "xa" badala ya "sa" , "akuna" badala ya "hakuna", "y" badala ya "why" , n.k hela zao zitaliwa na hawa wajanja vibaya sana.