Kiukweli msongo wa mawazo ni tatizo kubwa linawakabili wanawake wengi duniani; na wengine wana msongo wa mawazo lakini hawajijui.
Kuna vitu natural kama menstrual periods, mimba, lactation na kadhalika ambavyo huwafanya wanawake wawe na msongo wa mawazo kwa namna moja au nyingine.
Ndio maana hata Mungu akawaambia wanaume waishi na wanawake kwa hekima. Hii ni kwa vile wanawake wana matatizo ambayo hata wao hawajui kama wanayo...