Ukiona Mtu anawapinga sana mashoga au kuwasema sana mkimbie

Mambembe

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
2,215
2,958
ya mwisho kwa leo,
nimepitiaa huo uzi na kati ya comment zote wanajifanya hawajui mashoga,mara sijui hivi inakuwaje,mara sijui wanadindaje watu kama hao wakimbie, tafiti zinasema kwamba 98% ya wanao wapinga mashoga in public na kujifanya hawawapendi sijuii blah blah either ni mashoga,wanaliwa au ni walaji wa mashoga wakia mbele za watu wanajifanya kuwatukana ila wakiwa chobingo ndo watumiaji.

hivi tujiulize kwa jinsi mashoga wamekuwa wengi dar unafikir wanaongezeka bila kuwa na wateja wao??
trust me wanaume waliopo kwenye ndoa ndo wanaongoza kwa kutembea na mashoga coz hayo mambo kwa wake zao hawayapati.

cha muhimu mama mkanye mwanao,mchunguze mumeo esp kwenye social networks manake kuna balaaa saaana saanaa yaaan ukiingiaa snapchat watoto wa kiume walivyo haribika ni balaaa unaweza sema Mungu sitak mtoto wa kiume

so nawashauri wanawake wenzangu jitahidi kufatiliaa social networks za watoto na waume zenu kamfollow nani?nacomment nn?dm,pm snapchat ndo balaaa watu hawogopi jamani inatishaaaa basi tu
IMG_1399.JPG



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenye shida anamjuaa mwenzie nina marafiki kibao mashogaa na ukiona wanaotembeaa nao huwezi amini so piga kimy otherwise kama ni mmojawapo mla mashoga kwa siri usikarike utajijuaa na Mungu wako


Sent using Jamii Forums mobile app
sasa unanitusi au vp? wewe umeamua kujiweka karibu na hao watu, alafu unakuja ku generalize kwa wangine, huoni kuwa kuna kitu unatakiwa kujifunza? hao marafiki zako ni wa aina gani, unashinda na watu wa aina gani, ina matter sana! wewe unatuambia aina ya marafiki zako ni mashoga, alafu unakuja kukataa hapa kuwa huna shida wewe!
 
Halafu naomba niulize kaswali.

Inawezekanaje mtu mwenye makalio makubwa na yaliyonona vile kama Makonda akaongoza harakati dhidi ya ushoga? Kwanini wasitafute mwanaume mwenye sura ngumu na maumbile ya kiume kama mimi ndo nikasimamia vita vile badala ya mtu nyoronyoro kama yule?
 
mwenye shida anamjuaa mwenzie nina marafiki kibao mashogaa na ukiona wanaotembeaa nao huwezi amini so piga kimy otherwise kama ni mmojawapo mla mashoga kwa siri usikarike utajijuaa na Mungu wako


Sent using Jamii Forums mobile app
kifupi unatafuta namana ya kuwabariki hawa watu, na mnataka tusiwapinge, hapo hapo, ulipo sema una urafiki na hao watu, wewe nawe ni mmoja wao au wewe ni wa aina gani, changu au nani, usituletee ushenzi hapa!
 
Back
Top Bottom