Clint Eastwood one of the best actor of all times Hawa watoto wa juz hawajui kitu huyu Clint ndo ame wa inspire waigizaj weng na director wake Sergio LeoneLegendary CLINT EASTWOOD anastahili pia kuwepo kwenye huu uzi. Mzee wa The Good, the Bad & the Ugly, for a few dollars more, a fistful of dollars n.k.
Uko sahihi sana mkuu, watoto wa juzi sio rahisi kujua hawa magwiji. Movies tangu miaka ya 60 huko, but are still highly rated na ni watchable mpaka leo. Enzi hizo ilikua nikiona tu movie yupo Clint Eastwood (Blondie), Lee Van Cleef (Angel eyes) au Tuco sijiulizi mara mbili, lazima niicheki sababu najua lazima ni ya moto.Clint Eastwood one of the best actor of all times Hawa watoto wa juz hawajui kitu huyu Clint ndo ame wa inspire waigizaj weng na director wake Sergio Leone
Yan hawajui chochote kuhusu movie Hawa watoto wa juz Clint Eastwood Hakuna movie yoyote aliyo niangusha haya ukija kwa Lee van cleef ukija kwa tuko alafu mkuu Hawa walikuwa n ma genius kweli ukiangalia maneno yao yan una enjoy your day Kama pale Clint anamwambia tuko in this world there two types of people my friend those who dig and those who lood guns you dig, hiv vitoto vya sasa vinaangalia movie za kutafsiriwa tu alafu wanajiona wanajua kweliUko sahihi sana mkuu, watoto wa juzi sio rahisi kujua hawa magwiji. Movies tangu miaka ya 60 huko, but are still highly rated na ni watchable mpaka leo.
Sergio Leone alikua sio mtu wa kawaida, he is widely regarded as one of the most influential directors in the history of cinema. Ameacha alama kubwa sana kwenye industry ya filamu.
By the way huyo mwamba kwenye profile yako namuelewa sana. Mtaalam Tuco Benedicto Pacifico Juan Maria Ramirez (the Ugly). "When u have to shoot, shoot. Don't talk"
Yeye, Bruce Willis na Steven Seagal movies zao zimekuja kuwa low sana asee.Nicolous Cage hana jipya siku hizi
Hahahaa...Jamaa walikua na maneno flani amazing sana. Kuna pale Tuco katanguliza jamaa mlangoni wakauliwa, yeye kapitia dirishani, afu akamwambia Clint Eastwood "There are two kinds of spurs, my friend. Those that come in by the door (akafanya ishara ya msalaba); and those that come in by the window."Yan hawajui chochote kuhusu movie Hawa watoto wa juz Clint Eastwood Hakuna movie yoyote aliyo niangusha haya ukija kwa Lee van cleef ukija kwa tuko alafu mkuu Hawa walikuwa n ma genius kweli ukiangalia maneno yao yan una enjoy your day Kama pale Clint anamwambia tuko in this world there two types of people my friend those who dig and those who lood guns you dig, hiv vitoto vya sasa vinaangalia movie za kutafsiriwa tu alafu wanajiona wanajua kweli
Huyu Tom cruise naikubali moja tu missen impossible, kama kuna zingine nitajieniTom cruise
Hahaha nakumbuka mkuu yan maneno yao n burudan tupu Hakuna hata tusi lugha imenyooka tuko aka ell wallach anakasaut flan Hiv amazing Kama pale anasema potatoes your too poor to eat potatoes movie ya 1964 mpaka Leo inabambaHahahaa...Jamaa walikua na maneno flani amazing sana. Kuna pale Tuco katanguliza jamaa mlangoni wakauliwa, yeye kapitia dirishani, afu akamwambia Clint Eastwood "There are two kinds of spurs, my friend. Those that come in by the door (akafanya ishara ya msalaba); and those that come in by the window."
Afu ile movie ilikua na theme song matata sana, mpaka leo ni moja kati ya ringtones nnazopenda kuzitumia kwenye simu yangu.
Huyu Tom cruise naikubali moja tu missen impossible, kama kuna zingine nitajieni
Asante kiongoziJack Reacher
Edge of Tomorrow
Top Gun
Knight and Day
Oblivion
Asante kiongozi
Angel has fallen 2019 bonge ya movie humo ndani yupo pia Morgan Freaman amecheza kama US PresidentGerald Butler