Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Mwanzoni alikuwa akiamka anakusalimia vizuri,anakupigia simu,'Baby Umeamkaje jamani,umeniota??Nakupenda sana,karibu chai jamani,I missed u so much in my dreams jamani,umevaaje leo,wooow,Umependeza,una ratiba gani leo,si ntakuona baadae mpenzi kuna Muvi imetoka,utaniambia unatoka saa ngapi nije nikuchukue,Mwaaaaahhhh Mwaaah Mwaaahhh tena hubby ake'...Miezi mi2 ya mwanzo hiyo,Penzi lina Vibration kali kuliko Motorolla.
Baada ya miezi 6 akaacha kupiga Simu,anakutext tu Goodmorning Baby,Am on my way to Office.Laters!..imetoka hiyo,mpaka jioni tena
Baada ya Mwaka sasa,anaamka tu kama ameota mizimu,hasalimii wala nini mpaka umshtue kama taxi za Tandale Uzuri,na ukipata bahati anakutumia Meseji KAVU kuliko Chips..
Mpenzi wako kabisa,Baby ake,ambaye wewe unafeel ndo baba watoto wako ajaye au mama watoto ajaye na unamringishia sana mtaani na kwa mashosti, anaamka anatuma meseji,ukifungua Inbox unaona HONEY BOO BOO unafurahia kweli, unakuta meseji imeandikwa,
'HABARI' kamaliza hapo..Eti Hubby ake huyo....
Basi na wewe mjibu...ZA KIMATAIFA KUTOKA CHANNEL TEN!
Dalili za Penzi kufa au kuwa ICU limewekewa Dripu!Habari kwani mi Ufoo Saro!
OVER !!!

hahahahahahah!!!! yaani kiukweli u made my day maana nimekufa mbavu hapa sina hamu! eti kavu zaidi ya chipsi, vibration kali kuliko motorolla....we mkali...thanks maana nimecheka sana!
Tyta hii ni PHD data
mhh wengine!! ukiwa unatoa pesa hata tukiachana nikiwa nakusalimia nitaanza na sms zenye mafuta..
ha ha ha ha ha ha ha ha ila kuna ukweli! mazoea mabaya sana jamani.
Mwingine zamani ukmsalimia mambo SwTy poa tu jamani beby wangu mzima wew..
Lakin baada muda mchache kupita, Mambo SwTy, Poa ndio imetoka hiyo no continue story, Ilove no ilove you too, no return no nothing, no, no moneyo, no honey, Nothing, hilo penzi ujue limeanza kubaki story