deh deh deh, mkuu tahazari kwenye dua zako, omba ugeuzwe baskeli ya husninyo, ukiomba ugeuzwe baskeli tu mara unageuzwa baskeli la malaria sugu halaf busha la malaria sugu linaanza kuleta frikshen fosi.
bikira ikoje ikoje? utaijuaje hasa.
An excuse for not bn virgin????why the hell would i give an excuse?,do me this favour,i think you have sisters and lots of women you know,you can ask them if they give any excuse for not bn virgin???? We have the responsibility to decide what we do with our bodies,no one can decide for us,not even our husbands!:car::car:
hakuna ekskyuz, suala la msingi inabidi wajibu bikira wanazipeleka wapi siku hizi? mbona mabibi zetu walikuwa nazo halaf walikuwa wakitongozwa wanaangalia chini lakini sku hizi unatongoza mdada anakutolea mimacho kama kingwendu. dah! imekula kwetu walahi.
ukiolewa bila bikra ujue mwenzia anakuchukulia ulikuwa malaya, kubali usikubali may be hiyo bikra alitoa yeye la sivyo ULIKUWA MALAYA.
KWA HISANI YA (JINO KWA JINO).
Wanaume bwana! wanavyojuaga kuwa laghai mabinti wa watu mpaka wapate hizo bikra,leo wako hapa kuwapaka matope.
I wonder kama mgekua manayaongea haya iwapo kungekua na alama kuonyesha mmeshawapitia wadada wangapi. Acheni kuwaita wanawake malaya kwa kigezo cha kutokukutwa na bikra,ikumbukwe hizo bikra zinatolewa na wanaume,so kama ni makosa wote tuwakosaji period.
Tena basi...kama wanaziona mali sana..wangefunga midomo wasitongoze vibinti vya watu vikiwa bado innocent.
Wajiulize - mbona hawawaachi mabinti wakue hadi wapate akili ya kuelewa uongo wa wanaume? Ingekuwa hivyo mbona kila mwanamke angeolewa nayo!
The more experience one have about sex before marriage the more he/she endanger his/her marriage. God is not crazy to put virginity in women nor is He mud to bun pre marital sexual relationships, once the two are not carefully preserved by whoever-male of female, the consequences will be evident when he/she get married. The divorces and marital problems we have these days is because we signed a marital covenant (through allowing sex with some one, hatukuitunza bikra yetu!) with someone else not the life partners we have as a results those covenants troubles our minds such that we feel like going back to renew them and therefore we compromise our present relationships!
My suggestion!
Aisee, Nyie wanaume nyie, hivi mnajijua kama ninyi ni viumbe wa ajabu sana. Unamdanganya dada wa watu kwa ulaghai mkubwa, unamtoa bikira, tena unaweza hata ukamzalisha, halafu unamuacha bila hata huruma, hilo hamlioni wala hamlifikirii.
Sawa bikra ni heshima, lakini kabla hamjafikia kumwita mtu Malaya, jifikirie na mjifikirie ni mara ngapi mmewaharibu mabinti wa watu. Na hata kama hujamkuta bikra kwa nini ulitembea na binti wa mwenzio.
Ngoja niache kuandika manake naona hasira ndo zinaandika hapa.
But you men ningekuwa na uwezo, ningewahamishia kwene sayari nyingine mtoke huku kwene sayari hii.
Na nyie mnaoendelea kuharibu, kujeruhi mabinti. MSHINDWE. Na ujue kiasi kile kile unavyoharibu watoto wa wenzio ndo hivo hivo na wa kwako watakuja/wataharibiwa.
Nisameheni manake nimejikuta, napata hasira tu gafla.
Namtafuta Rose na AD kwene hi thread manake hawa wapendwa ni msaada mkubwa kwene, ujinga kama huu.
LD mie nimeshikwa na hasira mpaka nikakasirka vibaya sana huyu sijui kawaza nini??
Mie na Lizzy tumejiondokea zetu usiendelee na huyu mtu atakuharibia siku yako bure
wewe twende kule kwenye thread nyingine hii upuuzi mtupu
LD mie nimeshikwa na hasira mpaka nikakasirka vibaya sana huyu sijui kawaza nini??
Mie na Lizzy tumejiondokea zetu usiendelee na huyu mtu atakuharibia siku yako bure
wewe twende kule kwenye thread nyingine hii upuuzi mtupu
masuali ni mengi halaf yote nimeyasahau baada ya kuangalia avatar yako. dah! sisi wengine ni mayatima mtuonee huluma jamani.