Tulia, Kishindo utakisikia...
Tarehe 22 Julai, Mfalme wa Safari ya Matumaini anaenda Finland, kisha atarudi haraka...
CUF, CHADEMA na ACT watakuwa mwili mmoja, na hapo sauti kuu toka Mbinguni itasikika, itasema, " HUYU NDIE MWANA WANGU MPENDWA NILIYEPENDEZWA NAE" kisha saa ya ukombozi itafika..nisikumalizie utamu..
CUF washasema wazi, wanamtaka Lowassa, ameonewa, CDM washamtaka, NCCR hawana shida, sasa ni kuunganisha ACT....itakuwa kama MUSA AKIWA KOMBOA WA ISRAEL TOKA MISRI...!!!
Lowassa atakuwa Musa... tusubiri..!!