sishangai hata kidogo tunajua kufikiri vizuri watanzania ni kazi kubwa sana tena mno kama Watanzania wasomi kabisa wanashabikia madhara ya RICHMOND na kusahau kabisaa MULTIPLIER EFFECT iliozalishwa na RICHMOND na hata wamesahau PARETO OPTIMILITY kabisaa. Leo hii mikataba ya madini tulishaona ni mibovu kabisa leo inatungiwa sheria ya kuilinda mikataba hii watu tunashangilia kabisa hata kama UKAWA nilikuwa sijawaelewa skuwategemea lakini kwa hili kuna haja ya kufikiri upya na kuwaunga mkono. Baada ya kuilinda mikataba hiyo mibovu ndio muiweke wazi kisheria mlikuwa wapi nyie jamani. Miswada karibu kurasa 300 na marekebisho 1000 kwa pamoja.