Una uhakika na kipimo cha Dr, pima sehem tatu tofauti ndo uje kuchekeleaBaada ya Incident la miezi kadhaa iliyopita la kugegedana nyama kwa nyama na mhudumu wa Guest House wakati naenda chuo,nilipata stress sana kujiuliza kama kaniacha mzima au kaniachia umeme!!!
Leo nikaamua niuanze mwaka kwa kwenda kupima na majibu yameulipua moyo wangu kwa furaha,Dokta kanipima kasema sina maambukizi na wala sitapata,ila tu nipunguze uzinzi.
Kaniambia pia group langu la damu limenisaidia ni ngumu kudaka virusi,ila wakati nasubiri majibu nilikuwa full jasho kutetemeka daaah[emoji23] [emoji23] [emoji23]
SASA NIPO FREE NO STRESS
Beautiful ones are not yet born
Group gani hilo la damu?!
Endelea kujidanganya ,alitumia aina gani ya kipimo?Pima baada ya miezi 3 alafu baada ya miezi 6 tenaBaada ya Incident la miezi kadhaa iliyopita la kugegedana nyama kwa nyama na mhudumu wa Guest House wakati naenda chuo,nilipata stress sana kujiuliza kama kaniacha mzima au kaniachia umeme!!!