Ukimwi ni Noma

Ebaana..tulio wazima tuendelee kuwa makini.(mlinzi wa afya yako ni wewe mwenyewe) hakuna cha baby niamini,eti mi nimetulia
Vox populi,vox dei
 
kama kuna ambae ukimwi haujamgusa kwa njia yoyote ile ainue kidole juu........
 
marekan wametishia kututelekeza watanzania kisa meli za irani.

nyie hamueleweki bana,kikwete akija huko mnagombania kwenda kumsalia,hivi unaweza kukaa marekani na kumpapatikia kikwete??ndo maana wle baharia karudi hapa haeleweki mpango wake
 
huko Botwasana ni ndop naskia ni ruksa ku lala na mke wa jirani yako ? inabidi na bongoland pesa zisaidie madai ya madaktari kuliko kusaidia ARV's
 
Dah mkuu nakupa like 100%
 
Ay, did u mean Generic?
 
Aisee Doctor heri yako wewe uliwa Botswana na kazi ukapata sisi huku ndo tuko kwenye mgomo na tumeshaambiwa LIWALO NA LIWE sasa ukipata chansi nyingine huko si hata unitumie msg jamaa angu.
NI MIMI DOCTOR MWENZAKO .
 
kwa kuwa maisha ni bahati huja mara moja katika umri wako,ni wewe mwenye maamuzi,ima kinuke kwa uzinzi wako,au unyanyuke na familia yako na taifa lako kwa ujumla,kwa kujiepusha na ngono isiyo halali!
kama hela ya kubandua au kubanduliwa wakati si muathirika na muathirika ulikuwa nazo,vipi sasa kujigharamikia katika tiba ya gonjwa lako ukose laki mbili kwa mwezi!
bia tu kwa siku====25000
mwanamke kwa usiku=35000
gharama guest======30000
kwa siku tu =======90000/= lazma muandamane walevi na wazinzi mishahara kweli haitoshi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…