UKIMWI bado upo?

Namshukuru mungu my wife jana alimpeleka mtoto kliniki akaambiwa mtoto hapimwi uzito mpaka mama yake apime vvu ndipo akapimwa na kukutwa ni mzima saafii kabisa kwamajibu yake tu na mie hofu imepungua kwa kiwango kikubwa sana.
ndugu nenda kapime afya yako na wewe pia hujijue, maana VVU anaweza ke hana lakini me akawa nanvyo, au kinyume chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…